Tuesday 13th, April 2021
@Songwe
Mh, Mkuu wa Mkoa wa Iringa Bw, Ally S. Happi na Katibu Tawala waliposhiriki sherehe za uwashaji wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa mkoani Songwe.
Mkoa wa Iringa umewakilishwa na Mwenyekiti wa Vijana Mkoa wa iringa Bw, Kennani Kihongosi, ambay kwa sasa ni miongoni mwa vijana sita Kitaifa.
Kenani Kihongosi ni Mwenyekiti wa Umoja wa vijana CCM Mkoa wa Iringa (UVCCM)ambaye pichani ni wa pili kushoto.
Pawaga Road
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, Iringa
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2019, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.