Sehemu hii inajumuisha na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa. Sehemu hii ina lengo la kusaidia na kuwezesha utoaji wa huduma bora za Afya za kinga, matibabu na maendeleo ya huduma za Afya na Ustawi wa Jamii katika Mkoa. Sehemu hii inaongozwa na Katibu Tawala Msaidizi ambaye ni Mganga Mkuu wa Mkoa anayewajibika kwa Katibu Tawala wa Mkoa.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.