
UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI
Posted on: May 8th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Bw. Mashaka Mfaume, kutenga Kiasi cha Shilingi Millioni 12 ili kukamilisha miundombinu y...