• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Iringa Region

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Iringa Region

  • Home
  • About Us
    • History
    • Location
    • Vision and Mission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Education
      • Planning and Coordination
      • Health and Social Welfare
      • Economic and Production
      • Infrastructure
      • Water Service
      • LGAs Management
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Service
      • Procurement Management Unit
  • Districts
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • District
    • Iringa MC
    • Mafinga TC
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Investiment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Ruaha National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Civil Servant Cervices
  • Publications
    • Guidlines
    • Policies
    • News
    • Forms
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Videos
    • News Later
    • Events

IRINGA FESTIVAL, KULETA MAPINDUZI YA KIMAENDELEO IRINGA.

11 June 2024

Katika Kuhakikisha  Iringa inaendelea kujitangaza kuwa ndio lango kuu la Utalii Kusini na shughuli nyinginezo, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe.Peter Serukamba amesema kuwa kwa sasa Mkoa unaanziasha Iringa Festival likiwa na lengo la kuacha kuutangaza utalii tu bali kuangazia  fursa za uzalishaji mali zinazofanywa Mkoani Iringa kwa lengo la kupata maendeleo.Mhe. Serukamba ameyasema hayo leo Juni 11,2024 katika ukumbi wa mikutano uliopo Ofisini kwake wakati akizungumza na Wafanyabishara na wadau mbalimbali wa maendeleo ambapo amesema kuwa lengo lingine la kuanzisha Iringa Festival ni kuhakikisha Tanzania nzima inafahamu fursa zinazopatikana Iringa na kupata Wateja na Wawekezaji .Naye Mkurugenzi na Mtaalam wa ukuzaji wa uchumi wa kampuni ya Kikashi Tanzania Limited ,Zachy Mbenna ameeleza kuwa Iringa iliangaliwa kwa kuona haja ya kutambua fursa za uwekezaji, biashara  na utalii uliopo Iringa na kuelekea maendeleo ya dunia katika nyanja ya kisiasa na kijamii.Katika hatua nyingine Mbenna amesema moja ya sababu ya kuanzisha Iringa festival ni kutaka Iringa kuwa kitovu cha uwekezaji katika Tanzania nzima ambapo ili kufanikiwa kufanya Iringa festival itabidi iambatane na maonesho ya utalii wa Iringa ,ngoma za asili, maonesho ya bidhaa, vyakula vya asili ,burudani na zoezi la mbio ambalo litawapitisha wakimbiaji katika maeneo ya vivutio yatakayoshiriki na Wafanyabiashara, Wadau mbalimbali wa biashara ,Wadhamini ,Wasanini ,Wapikaji wa vyakula ambapo kutakuwa na gharama ya ushiriki maonesho hayo itatangazwa muda ukifika.Hata hivyo Katibu Mbenna amefafanua kuwa kutakuwa na mashindano ya kuchuma chai ambapo lengo ni kuonyesha ulimwengu kuwa Mkoani Iringa katika eneo la mufindi kuna ulimaji wa zao la chai ili kuweza kuleta ushiriki wa Makampuni makubwa na kufanyika uwekezaji.Kwa upande wao Wafanyabiashara mbalimbali wamelipongeza suala hilo huku kila mmoja akitoa maoni yao pamoja na kuongeza uaminifu katika kila huduma iitakayotolewa na Wafanyabiashara.Aidha Iringa Festivals itabeba taswira ya matukio yaliyokuwa yanafanyika katika hafla ya Utalii Karibu Kusini ambayo imezoeleka hufanyika kila mwisho mwa mwaka .Sasa Iringa Festivals inatarajiwa kufanyika mwezi wa nane ,2024 ambapo kauli mbiu yake inatarajiwa kuwa "TWIWONE Iringa yenye fursa lukuki " .#IringaLangolaUtaliiKusini

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • MTIHANI MWEMA KIDATO CHA SITA

    May 04, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAKAMILISHA ZIARA MKOA WA IRINGA NA KUKABIDHIWA MKOA WA NJOMBE

    May 03, 2025
  • View All

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
More Videos

Quick Links

  • Iringa Region Revenue Collection
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Related Links

  • State House
  • Public Service Recruitment Secretariat
  • PORALG
  • National Bureau of Statitics
  • Information Department
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

COUNTER-free

Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Telephone: +255 262 702 715

    Mobile:

    Email: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.