Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Aprili 26, amewasili Mkoa wa Iringa kwa ziara ya kikazi ya siku moja na kupokelewa na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa Iringa Mhe. Peter Serukamba, Katika Uwanja wa Ndege wa Nduli.
Akiwa Mkoa wa Iringa Mhe. Dkt. Biteko anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Sherehe za kuwekwa Wakfu kuwa Askofu Mteule Romanus Elamu Mihali kuwa Askofu wa Jimbo la Kitume la Iringa.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Telephone: +255 262 702 715
Mobile:
Email: ras@iringa.go.tz
Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.