• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Iringa Region

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Iringa Region

  • Home
  • About Us
    • History
    • Location
    • Vision and Mission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Education
      • Planning and Coordination
      • Health and Social Welfare
      • Economic and Production
      • Infrastructure
      • Water Service
      • LGAs Management
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Service
      • Procurement Management Unit
  • Districts
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • District
    • Iringa MC
    • Mafinga TC
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Investiment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Ruaha National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Civil Servant Cervices
  • Publications
    • Guidlines
    • Policies
    • News
    • Forms
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Videos
    • News Later
    • Events

MAANDALIZI YA UMISSETA NA UMITASTUMTA YANATALAJIWA KITAIFA KUFANYIKA MKOANI IRINGA

Posted on: March 15th, 2025

Ikiwa ni maadalizi ya Mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMTA, Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Bw. Atupele Mwambene, Machi,15,2025 amewasili Mkoani Iringa kwa lengo la kufanya ziara ya kukagua viwanja vitakavyotumika kwaajili ya michezo na sehemu za malazi.

Akiwa katika ziara hiyo Bw. Mwambene amepongeza maandalizi ya mashindano hayo yanayofanywa na wadau mbalimbali kwa kushirikiana bega kwa bega na Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa iringa ambapo Bw. Mwambene ametembelea katika shule ya Wasichana Ya Iringa, Shule ya Sekondari Kreluu,Chuo cha Uwalimu cha Kreluu,Uwanja Wa Kichangani pamoja na Shule ya Sekondari ya Lugalo.

Mashindano hayo kitaifa yanatarajia kufanyika mkoani hapa kuanzia Juni,08-Julai 04,2025.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Dkt. MGIMBA AONGOZA TIMU KUKAGUA MIUNDOMBINU YA AFYA IRINGA

    August 21, 2025
  • DKT. SAMIA AIBADILISHA IRINGA KWA Bil. 7.5 ZA ELIMU

    August 05, 2025
  • TAARIFA YA KUWAKARIBISHA WANANCHI KUTEMBELEA MABANDA YA MKOA WA IRINGA

    August 01, 2025
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA YA MAMA DUNIANI

    July 30, 2025
  • View All

Video

MAENDELEO KWA SASA BILA MAWASILIANO HAYAWEZEKANI- RC KHERI
More Videos

Quick Links

  • Iringa Region Revenue Collection
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Related Links

  • State House
  • Public Service Recruitment Secretariat
  • PORALG
  • National Bureau of Statitics
  • Information Department
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

COUNTER-free

Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Telephone: +255 262 702 715

    Mobile:

    Email: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.