• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Iringa Region

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Iringa Region

  • Home
  • About Us
    • History
    • Location
    • Vision and Mission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Education
      • Planning and Coordination
      • Health and Social Welfare
      • Economic and Production
      • Infrastructure
      • Water Service
      • LGAs Management
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Service
      • Procurement Management Unit
  • Districts
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • District
    • Iringa MC
    • Mafinga TC
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Investiment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Ruaha National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Civil Servant Cervices
  • Publications
    • Guidlines
    • Policies
    • News
    • Forms
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Videos
    • News Later
    • Events

MHE. SULEIMAN JAFO AWATAKA WATANZANIA KUENDELEA KUDUMISHA UMOJA NA MSHIKAMANO.

Posted on: April 26th, 2023


Mhe. Suleimani Jafo Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira ameongoza maadhimisho ya sherehe za miaka 59 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambapo kitaifa yamefanyika mkoani iringa.

Awali Akitoa taarifa ya Mkoa Mhe. Halima O. Dendego Mkuu wa mkoa wa iringa amemwambia mhe. Jafo kuwa mkoa wa iringa upo salama na pia kupitia Muungano Mkoa umekuwa na Maendeleo makubwa katika sekta mbalimbali

Aidha katika maadhimisho haya Mkuu wa Mkoa Kwa kushirikiana na viongozi wengine wameshiriki katika zoezi la kupanda miti katika shule ambapo miti elfu 89 imepandwa Kwa lengo la kutunza mazingira yetu.

Akizungumza na wananchi na viongozi mbalimbali Mhe. Jafo amempongeza Mhe. Mkuu wa mkoa iringa Kwa kuadhimisha sherehe hizo Kwa aina yake ya kuandaa ( bonanza) Kwa kufanya hivi ni Moja ya njia ya kudumisha umoja na mshikamani kwani michezo inaleta watu pamoja lakini pia Kwa kufanya hivi pia tunaunga juhudi za mhe. Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania ambaye amekuwa mstari wa mbele kusahimiza  michezo. Kwa upande mwingine Mhe. Jafo ameendelea kuwahimiza wananchi kuendelea kuwa na umoja na Mshikamano.


Imetolewa na Afisa Habari Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • KUELEKEA MBIO ZA THE GREAT RUAHA MARATHON

    July 01, 2025
  • MAAFISA ELIMU WAAGIZWA KUSIMAMIA MAENDELEO YA MICHEZO MASHULENI

    June 29, 2025
  • MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA 2025 YACHAGIZA UCHUMI WA IRINGA.

    June 29, 2025
  • KARIBU MKOANI IRINGA

    June 28, 2025
  • View All

Video

MAENDELEO KWA SASA BILA MAWASILIANO HAYAWEZEKANI- RC KHERI
More Videos

Quick Links

  • Iringa Region Revenue Collection
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Related Links

  • State House
  • Public Service Recruitment Secretariat
  • PORALG
  • National Bureau of Statitics
  • Information Department
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

COUNTER-free

Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Telephone: +255 262 702 715

    Mobile:

    Email: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.