Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba Juni,07,2025 ameshiriki pamoja na Mamia ya waombolezaji wengine kwenye mazishi ya Mtwa Xaviery Lukuvi, mdogo wake na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. William Lukuvi yaliyofanyika katika kijiji cha Mapogolo kata ya Idodi, Halmashauri ya wilaya ya Iringa.
Marehemu Mtwa Xaviery Lukuvi ambaye alifariki Tarehe 2 Juni 2025 Jijini Dar Es Salaam na alikuwa akifanya kazi katika Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Makao Makuu
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Telephone: +255 262 702 715
Mobile:
Email: ras@iringa.go.tz
Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.