Friday 26th, April 2024
@Iringa
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Queen Sendiga leo amefunga mafunzo ya wakufunzi wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 katika ngazi ya Mkoa yaliyofanyika katika ukumbi wa chuo kikuu Mkwawa.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.