Tuesday 9th, August 2022
@Iringa
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe Queen Cuthbert Sendiga amezindua kampeni ndogo ya chanjo ya UVIKO - 19 yenye dhumuni la kuongeza idadi ya uchanjaji katikaMkoa wa Iringa.Kampeni hiyo inafanyika kuanzia tarehe 20 Julai 2022mpaka tarehe 24 Julai 2022.
Pawaga Road
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, Iringa
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2021, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.