• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Iringa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahala
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Maji
      • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Huduma za Kisheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • Halmashauri
    • Iringa MC
    • Mafinga Mji
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda na Biashara
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Hifadhi ya Taifa Ruaha
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Habari
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • News Later
    • Matukio

KAMBI YA MADAKTARI BINGWA YA MAMA SAMIA YATUA IRINGA

Posted on: June 2nd, 2025

Kambi maalum ya madaktari bingwa chini ya mpango wa Mama Samia imewasili rasmi Mkoani Iringa kwa lengo la kutoa huduma za kibingwa kwa wananchi ambapo Kambi hiyo itatoa huduma katika Halmashauri tano za Mkoa huo, ikiwemo Iringa DC, Kilolo, Mufindi, Iringa Manispaa na Mafinga na Mpango huo ni sehemu ya juhudi za Serikali kuboresha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi, hasa walioko vijijini na maeneo ya pembezoni.

Akizungumza wakati wa mapokezi ya Madaktari hao Juni,02,2025,Kaimu mganga Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dkt. Credinus Mgimba amesema kuwa ujio wa Madaktari hao Bingwa utasaidia wananchi kupata matibabu ya kibingwa bila gharama kubwa na usumbufu wa kusafiri kutoka Iringa kwenda kupata matibabu mkoa mwingine.

Jumla ya madaktari bingwa 36 wamepokelewa rasmi kwa ajili ya kutekeleza huduma hizo, wakijumuisha wataalamu wa fani mbalimbali za tiba. Kwa mujibu wa ratiba ya kambi hiyo, madaktari hao watazunguka katika halmashauri husika kwa siku kadhaa ili kuwahudumia wagonjwa wenye uhitaji wa huduma za kibingwa ambazo kwa kawaida hupatikana katika hospitali za juu au rufaa pekee.

Ikumbukwe kuwa utekelezaji wa mpango huu, kwa awamu ya kwanza zaidi ya wananchi 2,500 walinufaika na huduma mbalimbali za kibingwa, wakiwemo wagonjwa 274 waliopatiwa huduma za upasuaji na wengine 238 waliopata rufaa kwa matibabu ya juu.

Zaidi ya wagonjwa 3,000 hadi 4,000 wanatarajiwa kuhudumiwa katika kipindi chote cha kambi hiyo. Wananchi wengi tayari wamejitokeza kwa wingi katika vituo vilivyopangwa wakionesha hamasa kubwa na matumaini kutokana na ujio wa huduma hizo muhimu.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KARIBU MKOANI IRINGA

    June 28, 2025
  • RC SERUKAMBA AMESHIRIKI NA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MAZISHI YA MDOGO WAKE NA WAZIRI WA NCHI OFISI YA WAZIRI MKUU MHE WILLIAM LUKUVI

    June 07, 2025
  • WASHIRIKI 10,000 KUTIKISA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA 2025 MKOANI IRINGA

    June 06, 2025
  • MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA KITAIFA YATAFANYIKA MKOA WA IRINGA

    June 02, 2025
  • Tazama zote

Video

WASHIRIKI 10,000 KUTIKISA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA 2025 MKOANI IRINGA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Iringa
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji Kidunia

world map hits counter

Jumla ya Watembeleaji

COUNTER-free

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Simu: +255 262 702 715

    Mobile:

    Barua pepe: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2025, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.