• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Iringa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahala
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Maji
      • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Huduma za Kisheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • Halmashauri
    • Iringa MC
    • Mafinga Mji
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda na Biashara
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Hifadhi ya Taifa Ruaha
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Habari
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • News Later
    • Matukio

MADIWANI HAKIKISHENI MNASIMAMIA MIRADI IISHE KWA WAKATI- RC SERUKAMBA

Posted on: May 28th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba amewataka Madiwani Mkoani Iringa  kuhakikisha wanaisimamia miradi yote iliyopo kwenye kata zaoAmeyasema hayo leo Mei,28,2024 wakati aliposhiriki katika kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya  Wilaya ya Iringa lililofanyika kwenye ukumbi wa Siasa ni Kilimo.Akizungumza na Wah. Madiwani hao Mhe. Serukamba amesema kuwa miradi mingi kwenye Halmashauri bado haijakamilika na hii ni kutokana na kukosekana kwa usimamizi wa miradi hiyo, hivyo amewataka madiwani  kuhakikisha wanasimamia kwa nguvu zao zote miradi hiyo na kuachana na visingizio vya kusema kuwa wataalamu ndio wanaopaswa kusimamia miradi hiyo."Mkurugenzi madiwani wote hawa ni wa kwako, wote watume wakasimamie kazi za miradi iishe kwa wakati,ndugu madiwani hakikisheni mnasimamia miradi iishe kwa wakati"Pia Mhe. Serukamba ameongeza kwa kutoa rai kwa uongozi wa Halmashauri hiyo kuhakikisha pindi fedha za miradi zinapofika ziende moja kwa moja kwenye miradi na zisikae Halmashauri ili miradi iweze kukamilika kwa wakati.Kwa upande mwingine Mhe. Serukamba ameendelea kuwahimiza madiwani katika Halmashauri hiyo kuwa na umoja na mshikamano katika kuisongesha mbele Halmashauri hiyo.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WAZIRI MKUU ASHIRIKI MBIO ZA GRUMA 2025

    July 05, 2025
  • KUELEKEA MBIO ZA THE GREAT RUAHA MARATHON

    July 01, 2025
  • MAAFISA ELIMU WAAGIZWA KUSIMAMIA MAENDELEO YA MICHEZO MASHULENI

    June 29, 2025
  • MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA 2025 YACHAGIZA UCHUMI WA IRINGA.

    June 29, 2025
  • Tazama zote

Video

MAENDELEO KWA SASA BILA MAWASILIANO HAYAWEZEKANI- RC KHERI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Iringa
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji Kidunia

world map hits counter

Jumla ya Watembeleaji

COUNTER-free

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Simu: +255 262 702 715

    Mobile:

    Barua pepe: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2025, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.