Ikiwa ni siku ya pili ya ziara ya mwenge Mkoa wa Iringa, leo April,29,2025 Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe. Kheri James amemkabidhi mwenge wa uhuru Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Mhe. Rebeca Nsemwa.
Mwenge wa Uhuru ukiwa Wilayani Kilolo utakagua, kuzindua na kuweka jiwe la msingi katika miradi mbalimbali ikiwemo ya sekta ya Afya,Elimu na Miundombinu.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2025, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.