Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe. Kheri James Machi,15,2025 Akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa ameipokea Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) iliyowasili mkoani hapa kwaajili ya ziara ya siku tatu ya ukaguzi wa miradi.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2025, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.