• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Iringa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahala
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Maji
      • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Huduma za Kisheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • Halmashauri
    • Iringa MC
    • Mafinga Mji
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda na Biashara
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Hifadhi ya Taifa Ruaha
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Habari
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • News Later
    • Matukio

MHE. DKT. DOTO M. BITEKO NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI AFUNGUA MICHEZO YA SHIMIWI YA 37 IRINGA

Posted on: October 4th, 2023


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt . Doto M. Biteko amewataka Wanamichezo Kutumia Nafasi Zao Katika Kutangaza Vivutio vya Utalii Ndani ya Nchi na Nje ya Nchi na kulinda Mazingira kwa Kuwaelekeza Watu Umuhimu wa Utunzaji wa Mazingira.

Ameyasema hayo leo October 04,2023 Katika Viwanja Vya Samora Mkoani Iringa Wakati Akifungua Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) Ambapo Amewataka Washiriki wa Michezo Hiyo Kutangaza Vivutio Mbalimbali vya Utalii Vilivyopo Nchini Tanzania Ili Kukuza Uchumi Katika Taifa na kupelekea Sekta ya Utalii Kukua kwa Kasi kubwa.

Aidha Mhe. Dkt. Biteko amewasisitiza Wanamichezo hao kuwa mstari wa mbele katika utunzaji wa Mazingira katika kupanda Miti kulinda na vyanzo vya Maji,  Amesema kuwa haita pendeza sana kuona wanamichezo  ambao ni watumishi wa serikali wanakuwa watu wa kwanza kuharibu mazingira.

Nae Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Patrobas Katambi (MB) ametoa shukrani kwa serikali kwa kuanzisha mashindano hayo ambapo pia  amesema kuwa hii ni Michezo ya 37 tangu kuanzishwa kwake huku Watumishi 2765 wameshiriki katika michezo hiyo vikiwemo na vilabu 68 kwa mwaka uhu 2023.

 Akitoa taarifa ya mkoa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Halima O. Dendego ameishukuru serikali ya awamu ya SITA (6) kwa kazi kubwa inayofanya Katika mkoa huo kwa Kuleta Miradi mingi ya Maendeleo pia kwa Kuruhusu mwaka huu mashindano ya SHIMIWI kufanyika  mkoani hapa Kwani mashindano haya yamechangia na Kuongeza kipato na uchumi wa mkoa hapa. Mashindano haya ya Shimiwi yanatarajiwa Kufungwa siku ya tarehe 14/10/2023 Mkoani Iringa.

Imetolewa na  Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • ‎RC SERUKAMBA AITAKA TRA KUDHIBITI RISITI FEKI, KUHAMASISHA ELIMU YA KODI

    May 19, 2025
  • TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM MKOA WA IRINGA.

    May 18, 2025
  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • Tazama zote

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Iringa
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji Kidunia

world map hits counter

Jumla ya Watembeleaji

COUNTER-free

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Simu: +255 262 702 715

    Mobile:

    Barua pepe: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2025, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.