Mhe Queen Sendiga, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, amewaamasisha wananchi kuendelea kuchukua tahadhari kubwa dhidi ya maambukizi ya UVIKO-19,tahadhari itatuweka salama,tuna kila sababu ya kufanikiwa katika vita hii.katila hili tuzingatie pia kufanya mazoezi na kula vizuri
Pawaga Road
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, Iringa
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2021, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.