• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Iringa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahala
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Maji
      • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Huduma za Kisheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • Halmashauri
    • Iringa MC
    • Mafinga Mji
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda na Biashara
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Hifadhi ya Taifa Ruaha
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Habari
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • News Later
    • Matukio

MKUU WA MKOA WA IRINGA MHE. HALIMA O. DENDEGO ASHUHUDIA UTIAJI SAINI WA HATI YA UDHIBITI WA WAFANYABIASHARA WALIOPO KATIKA MAENEO YASIYO RASIMI

Posted on: November 15th, 2023

Mapema leo hii Mkuu wa mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendego ameshuhudia zoezi la utiaji saini wa hati ya udhibiti wa wafanyabiashara holela ambapo amewataka wafanyabiashara wadogo wadogo (Machinga)  kurudi katika sehemu zao kwa kufuata sheria zilizopo.

Akizungumza katika mkutano huo Mhe. Dendego amesema kuwa katika kipindi hiki kumeripotiwa kuwa na mvua nyingi hivyo sio vyema kuwakuta wafanyabiashara na machinga wakifanya biashara zao kwenye maeneo ambayo sio rasmi kama pembezoni mwa barabara,mitaroni na vichochoroni hivyo basi ifikapo tarehe 19/11/2023 watu wote waliopo katika maeneo yasiyo rasmi wawe wameondoka na kwenda kwenye maeneo waliopangiwa na Serikali.

Pia Dendego amesema kuwa kwa wale wote ambao wamekosa maeneo ya kufanyia biashara basi ni wakati sasa wa wao kuonana na uongozi wa Halmahsuri kuhakikisha wanapatiwa maeneo ya kufanyia biashara kwani kuanzia tarehe 20/11/2023  uongozi wa Mkoa, Wilaya na Halmashauri ya Manispaa wataanza oparesheni ya kufanya usafi katika Hlmashauri Manispaa ya Iringa.

Nao baadhi ya viongozi wa wafanyabiashara, machinga na viongozi wa masoko wameishukuru serikali ya Mkoa kwa zoezi na maamuzi waliyoyafanya ya kuhakikisha mji wa Iringa unapendeza na kuwa safi.

Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa

Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • ‎RC SERUKAMBA AITAKA TRA KUDHIBITI RISITI FEKI, KUHAMASISHA ELIMU YA KODI

    May 19, 2025
  • TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM MKOA WA IRINGA.

    May 18, 2025
  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • Tazama zote

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Iringa
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji Kidunia

world map hits counter

Jumla ya Watembeleaji

COUNTER-free

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Simu: +255 262 702 715

    Mobile:

    Barua pepe: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2025, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.