• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Iringa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahala
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Maji
      • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Huduma za Kisheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • Halmashauri
    • Iringa MC
    • Mafinga Mji
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda na Biashara
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Hifadhi ya Taifa Ruaha
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Habari
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • News Later
    • Matukio

ONGAMANO LA NYANDA ZA JUU KUSINI (DIRA YA TAIFA 2050).

Posted on: August 3rd, 2024

Mkuu wa mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba amewaomba wananchi na viongozi wa dini Nchini  kuchangia ipasavyo Kwa kutoa mawazo na fikra zao nzuri ili Taifa liweze kupata dira nzuri itakayosaidia kujenga nchi yetu ya Tanzania.

Mhe. Serukamba amezungumza hayo mbele ya mgeni  rasmi Mhe. Dkt. Tulia Ackson, spika wa bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji. Mhe. Prof. Kitila Mkumbo (Mb.), 

Akizungumza katika Kongamano hilo Mhe. Serukamba amewajulisha wananchi na viongozi kutambua Mikoa ya Mbeya, Songwe, Njombe na Iringa zina nafasi kubwa sana kwenye nchi hii kwasabau Mikoa hii ndo inayolisha nchi.

"Tunaposema Tanzania inajitosheleza Kwa chakula ni kwa sababu ya mikoa hii minne."

Pia Mhe. Serukamba amesema kuwa Nchi yetu imefanya makubwa sana kuanzia kwenye sekta ya maji,elimu, barabara,Afya, hivyo siku  hii ya leo tujipange vizuri tuje na mawazo mapya ya jinsi gani tunaweza kuziboresha zaidi sekta zote hizo kwa maendeleo ya kuanzia sasa mpaka 2050.


Aidha Mhe. Serukamba amesema kuwa katika kipindi hiki kifupi Mambo mengi mazuri na Makubwa ya kujenga nchi yamefanyika ndani ya miaka 3 ya uongozi wa Mhe, Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan chini ya usamizi wa chama Cha mapinduzi.


Kongamano hilo limefanyika katika ukumbi wa Edeni Highland Hotel Mbeya na Kuudhuriwa na wadau mbalimbali kutoka mikoa ya nyanda za juu.kusini.


Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • ‎RC SERUKAMBA AITAKA TRA KUDHIBITI RISITI FEKI, KUHAMASISHA ELIMU YA KODI

    May 19, 2025
  • TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM MKOA WA IRINGA.

    May 18, 2025
  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • Tazama zote

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Iringa
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji Kidunia

world map hits counter

Jumla ya Watembeleaji

COUNTER-free

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Simu: +255 262 702 715

    Mobile:

    Barua pepe: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2025, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.