• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Iringa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahala
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Maji
      • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Huduma za Kisheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • Halmashauri
    • Iringa MC
    • Mafinga Mji
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda na Biashara
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Hifadhi ya Taifa Ruaha
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Habari
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • News Later
    • Matukio

UZINDUZI WA MIRADI YA MAENDELEO HALMASHAURI YA MJI MAFINGA

Posted on: September 18th, 2024

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Abdallah Hamis Ulega  (MB) amezindua Miradi Miwili ya Maendeleo,kuweka Jiwe la Msingi mradi mmoja na kukagua Mradi Mmoja wa maendeleo katika Halmashauri ya Mji Mafinga yenye thamani zaidi ya shilingi Bilioni 3.

Akizungumza Kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika tarehe 18/9/2024 katika viwanja vya Kituo cha Afya Ifingo  Mheshimiwa Ulega amesema amefarijika kuona maendeleo Makubwa ya Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo ambayo imepokea fedha kutoka Serikali Kuu, Halmashauri ya Mji Mafinga na kikubwa zaidi uchangiaji wa nguvu za wananchi katika utekelezaji wa Miradi hiyo.

“ Nimeweka Jiwe la Msingi katika Jengo la Mama na Mtoto katika Zahanati ya Rungemba jengo ambalo lilianza ujenzi kwa kuibuliwa na wananchi na wananchi kuanza ujenzi huo kwa nguvu zao wenye thamani ya shilingi Milioni 40 na Halmashauri ime jenga kwa mapato yake ya ndani shilingi Milioni 77. Hili na jambo la kujifunza.”

Nitafikisha salamu hizi kwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa wananchi wa Mafinga wanafanya kazi kwa ushirikiano mkubwa na wanatekeleza Miradi ya Maendeleo kwa juhudi zao na hivyo kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais na kusukuma mbele gurudumu la Maendeleo la Mji Mafinga.


Miradi iliyotembelewa na Mheshimiwa Waziri wa Kilimo ni Abdallah Ulega ni;-

Kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Jengo la Mama na Mtoto katika Zahanati ya Rungemba, Uzinduzi wa Shule Mpya ya Kata Mtaa wa Ndolezi Kata ya Boma ( SEQUIP), Kuzindua  madarasa mawili katika Shule ya Msingi Kikombo na kutembelea ujenzi wa nyumba ya walimu(2 in 1) kupitia Mradi wa SEQUIP


Katika Ziara hiyo Mbunge wa Jimbo

La Mafinga Mjini na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki  Mheshimiwa Cosato Chumi amekabidhi vitanda 6 katika Zahanati ya Rungemba kwaajili ya jengo la mama na mtoto kuunga mkono juhudi za Serikali na wananchi walioibua mradi hu

Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • MTIHANI MWEMA KIDATO CHA SITA

    May 04, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAKAMILISHA ZIARA MKOA WA IRINGA NA KUKABIDHIWA MKOA WA NJOMBE

    May 03, 2025
  • Tazama zote

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Iringa
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji Kidunia

world map hits counter

Jumla ya Watembeleaji

COUNTER-free

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Simu: +255 262 702 715

    Mobile:

    Barua pepe: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2025, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.