• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Iringa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahala
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Maji
      • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Huduma za Kisheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • Halmashauri
    • Iringa MC
    • Mafinga Mji
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda na Biashara
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Hifadhi ya Taifa Ruaha
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Habari
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • News Later
    • Matukio

WATUNZA KUMBUKUMBU KUWENI WAAMIFU NA WAADILIFU - DC KHERI JAMES

Posted on: May 7th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe. Kheri James amewataka watunza kumbukumbu nchini kuhakikisha wanakuwa na uaminifu na watunza siri katika utendaji wao wa kazi.

Ameyasema hayo leo Mei, 07, 2024 wakati alipo muwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwenye ufunguzi wa kikao kazi na mafunzo maalumu kwa watunza kumbukumbu kutoka Tanzania bara na visiwani kilichofanyika katika ukumbi wa Masit Mjini Iringa.

Akizungumza na watendaji hao Mhe. James amesema kuwa moja ya kazi ya kuiheshimu ni kazi ya utunzaji wa kumbukumbu na nyaraka hivyo suala la uadilifu,uaminifu na utunzaji wa siri unapaswa kupewa kipaumbele katika utendaji wa kila siku wa shughuli za Serikali.

Akitoa taarifa kwa Mgeni rasmi Mwenyekiti wa TRAMPA Ndg. Devota Mlope amesema kuwa lengo la kikao hicho ni kuweza kuwajengea uwezo watunzaji wa kumbukumbu na nyaraka katika utendaji wa shughuli zao za kila siku ambapo mafunzo hayo yatawasaidia kuwajengea uhodari na kuongeza tija na ufanisi.

Nao baadhi ya washiriki katika mafunzo hayo wamesema mafunzo hayo yatawasaidia katika utendaji wao wa kazi pindi wawapo Ofisini huku wakiiomba Serikali kwenye mafunzo hayo kuungana na viongozi  wa ofisi kuwajengea uwezo ili nao wapate Elimu ya utunzaji wa siri kwani wao wamekuwa wakitunza siri kutokana na Taaluma yao lakini viongozi walio juu baadhi yao wamekuwa sio waaminifu.

Zaidi ya watunza kumbukumbu Elfu moja kutoka Tanzania Bara na Visiwani wameudhuria mafunzo hayo ambayo yatatolewa kwa siku nne. 

Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • MTIHANI MWEMA KIDATO CHA SITA

    May 04, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAKAMILISHA ZIARA MKOA WA IRINGA NA KUKABIDHIWA MKOA WA NJOMBE

    May 03, 2025
  • Tazama zote

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Iringa
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji Kidunia

world map hits counter

Jumla ya Watembeleaji

COUNTER-free

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Simu: +255 262 702 715

    Mobile:

    Barua pepe: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2025, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.