Mkuu wa mkoa wa iringa Rc sendiga afanya ziara mkoani humo juu ya mfumuko (ongezeko) la bei kwa wafanya biashara mkoani humo, Pia katika ziara yake Mh:sendiga alipata kuongea na wafanyabiashara wa soko kuu kuhusiana na kupanda bei kwa bidhaa kama matunda,vyakula ,lakini baadhi ya wafanya biashara kama wauzaji wa mbolea wamesema mfumuko wa bei upo kawaida , Hata hivyo mweshimiwa sendiga amewataka wafanyakazi wa sheli kufanya kazi kwa kufwata bei elekezi ilowekwa na serikali katika kuuza mafuta.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.