Posted on: December 27th, 2023
Wananchi wa kata ya Mpanga Tazara Wilayani Mufindi Mkoani Iringa wameishukuru Serikali kwa kuwapatia mradi mkubwa wa ujenzi wa shule ya Sekondari.
Wananchi hao wametoa shukurani zao walipo...
Posted on: December 20th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendego amewataka vijana nchini kuwa wazalendo kwa kuyatangaza mazuri yote yanayofanywa na Serikali.
Ameyasema hayo wakati wa kongamano la kumpongeza Mhe. Dkt. Sa...
Posted on: December 19th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendego ametoa rai kwa vijana nchini kufanya juhudi ya kujikinga na maambukuzi ya virusi vya UKIMWI kwa kuzingatia masomo na kujiepusha na tabia hatarishi zitakazosa...