Posted on: April 16th, 2019
Mh. Rais John Magufuli akimkabidhi Shilingi Milioni Nne Mbunge wa Kalenga Mh. Godfrey Mgimwa baada ya kuridhishwa na ujenzi wa Shule ya Sekondari katika Kata ya Tanangozi....
Posted on: April 11th, 2019
Mh. Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi akizindua maonesho ya tano ya wiki ya utafiti katika Chuo Kikuu kishiriki cha Elimu Mkwawa
ambacho ni tawi la Chuo Kikuu cha Dar es salaam. Maenesho hayo ...
Posted on: April 3rd, 2019
Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa Bi, Happyness Seneda akitembelea mradi wa Vyoo bora na matumizi bora ya maji katika Wilaya Mufindi Kijiji cha Kinyanambo mradi huu ulikua una dhaminiwa na UNICEF ncini ...