Posted on: August 13th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe Ally Hapi ameanza ziara ya kutembelea Wilaya za Mkoa wa Iringa, akianza na Wilaya ya Kilolo.
Akiwa Wilayani Kilolo, alifanya kikao na Kamati ya Ulinzi na Usalam...
Posted on: August 14th, 2018
Na. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Iringa
Wafanyakazi wilayani Mufindi wametakiwa kutoa taarifa ya utekelezaji wa majukumu yao kila wiki yakionesha jinsi walivyotatua kero za wananchi katika maeneo yao.
...
Posted on: August 14th, 2018
Na. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Iringa
Watendaji wilayani Kilolo wametakiwa kuwafuata wananchi katika maeneo yao na kutatua kero zao ili wafurahie uwepo wa serikali iliyopo madarakani.
Kauli hiyo ili...