RC HAPI AMEAGIZA WAZEE KUPEWA KIPAUMBELE KWENYE HOSPITALI ZOTE ZA MKOA WA IRINGA NA MATIBABU BURE
RC ALLY HAPI AKISHIRIKIANA NA WAFANYAKAZI WA MKOANI IRINGA KUMPONGEZA MH RAIS KWA KURUDISHA KIKOKOTOO CHA ZAMANI
Mkuu wa mkoa wa Iringa, Mhe Ally Hapi amezitaka kampuni zote zilizopo mkoani Iringa zinazojishughulisha na ununuzi na uuzaji wa mbao pamoja na uuzaji wa nguzo za umeme kuhakikisha wanalipa kodi ya asilimia tano(5%) kwa mujibu wa sheria za nchi hii.
Hakimiliki ©2025, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.