• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Iringa Region

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Iringa Region

  • Home
  • About Us
    • History
    • Location
    • Vision and Mission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Education
      • Planning and Coordination
      • Health and Social Welfare
      • Economic and Production
      • Infrastructure
      • Water Service
      • LGAs Management
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Service
      • Procurement Management Unit
  • Districts
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • District
    • Iringa MC
    • Mafinga TC
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Investiment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Ruaha National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Civil Servant Cervices
  • Publications
    • Guidlines
    • Policies
    • News
    • Forms
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Videos
    • News Later
    • Events

CCM MKOA WA IRINGA WANAFANYA KAZI KWA USHIRIKIANO MKUBWA NA SERIKALI YA MKOA NDIO MAANA KUNAUTULIVU MKUBWA NA KASI KUBWA YA MAENDELEO.

Posted on: June 17th, 2022


Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe, Queen Sendinga amesema kuwa serikali ya Mkoa wa Iringa imetoa zaidi ya bilioni kwenye mfuko wa akina mama wa asilimia 4 na wamejipanga kuhakikisha mwaka ujao wa fedha wataongeza zaidi ya hapo.

Mhe, Sendiga amesema kuwa serikali ya awamu ya sita imefanikiwa kuwatua ndoo wanawake wa Mkoa wa Iringa kwa kuleta miradi mingi ya maji kwenye kila wilaya na halmashauri zake.

Amesema kuwa Iringa bado kuna changamoto ya ukatili wa kijinsia hivyo serikali ya Mkoa wa Iringa kupitia Polisi na Mahakama imeanza kushughulikia kesi za ubakaji na ulawiti na kisha  kuwafunga watuhumiwa  wote ambao wamekuwa wanafanya vitendo vya kikatilii.

Mhe, Sendiga amesema kuwa wananchi wa Mkoa wa Iringa waache mara moja tabia ya kuwaficha wananchi ambao wamekuwa wakifanya vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa sababu nao watashughulikiwa na serikali kama watuhumiwa wengine.

Mhe, Queen Sendiga, amezungumza hayo akiwa kwenye baraza la Wanawake la Mkoa wa Iringa ambapo pia limehudhuriwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania bi, Gaudentia Kabaka. Ambaye yupo Mkoani Iringa kwa ajili ya ziara ya siku mbili kuanzia tarehe 16-17/6/2022.

Bi, kabaka, nitumie fursa hii kuwapongeza sana Mhe Rc Sendiga na ndugu, Happynes Seneda (RAS) kwa ushirikiano wenu mkubwa wa kazi ambao unadhibitisha manafanya kazi  nzuri na yenye tija kubwa ndani ya Mkoa wa Iringa, hivyo endeleni kushirikiana nasi Kama UWT Taifa tunaziona na tutawasemea vizuri kubwa endeleeni kuchapa kazi uku mkishirikiana na CCM Mkoa.

Imetolewa na Afisa habari Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • MTIHANI MWEMA KIDATO CHA SITA

    May 04, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAKAMILISHA ZIARA MKOA WA IRINGA NA KUKABIDHIWA MKOA WA NJOMBE

    May 03, 2025
  • View All

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
More Videos

Quick Links

  • Iringa Region Revenue Collection
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Related Links

  • State House
  • Public Service Recruitment Secretariat
  • PORALG
  • National Bureau of Statitics
  • Information Department
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

COUNTER-free

Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Telephone: +255 262 702 715

    Mobile:

    Email: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.