• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Iringa Region

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Iringa Region

  • Home
  • About Us
    • History
    • Location
    • Vision and Mission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Education
      • Planning and Coordination
      • Health and Social Welfare
      • Economic and Production
      • Infrastructure
      • Water Service
      • LGAs Management
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Service
      • Procurement Management Unit
  • Districts
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • District
    • Iringa MC
    • Mafinga TC
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Investiment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Ruaha National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Civil Servant Cervices
  • Publications
    • Guidlines
    • Policies
    • News
    • Forms
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Videos
    • News Later
    • Events

DR.ROBERT SALIM,ATOA SEMINA KWA WANAHABARI KUHUSU KAMPENI SHIRIKISHI DHIDI SURUA,RUBELA NA POLIO

Posted on: October 18th, 2019

Dr,Robert Salim ,Mganga Mkuu wa Mkoa Iringa,leo amefungua semina ya kuelimisha Wanahabari kuhusu kampeni sirikishi ya chanjo dhidi ya surua,rubela na ugonjwa wa polio.

Amesema kuwa kampeni hii ni muhimu sana kwa Wanahabari kujua kwa kina juu ya kampeni ya ugonjwa huu ili kuleta uelewa kwa jamii,kwa sababu Wanahabari wanamchango mkubwa sana wa kuelimisha jamii na ujumbe utafika haraka na kwa wakati pasipo shaka kwa jamii.

Jukumu kubwa la Wanahabari ni kuwajulisha jamii juu ya faida na madhara ya ugonjwa huu wa surua,rubella na polio.Na pia wanao jukumu la kuondoa uvumi wowote kwa jamii maana wapo wananchi wanaopotosha juu ya chanjo hizo.

Chanjo hizi ni salama zimethibitishwa na shirika la Afya ulimwenguni na Wizara ya Afya,pia chanjo hizi utolewa bure kabisa.

Akifafanua Mratibu wa chanjo Mkoa Bw.Mwalongo ,amesema chanjo ya surua,rubela hutolewa miezi 9-59,na Polio utolewa miezi 18-42 na hadi mwaka 01 na nusu hadi 03 na nusu.

Kampeni hiyo itazinduliwa kesho na Mhe,Ally Hapi ,Mkuu wa Mkoa wa Iringa,katika kata ya NZIHI.Itafanyika kwa muda wa siku5,kuanzia tarehe 17/10 hadi 21/10/2019.Na Serikali imejipanga na  chanjo zimekwishafika pamoja na vifaa tiba.

 Daktari,Salim Amewaomba akina  mama wawapeleke watoto wote ili wakapate chanjo hizo kwa muda muhafaka

                                             

                                             Imetolewa na Humpphrey Kisika

                                            Afisa Habari wa Mkoa wa Iringa.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • MTIHANI MWEMA KIDATO CHA SITA

    May 04, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAKAMILISHA ZIARA MKOA WA IRINGA NA KUKABIDHIWA MKOA WA NJOMBE

    May 03, 2025
  • View All

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
More Videos

Quick Links

  • Iringa Region Revenue Collection
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Related Links

  • State House
  • Public Service Recruitment Secretariat
  • PORALG
  • National Bureau of Statitics
  • Information Department
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

COUNTER-free

Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Telephone: +255 262 702 715

    Mobile:

    Email: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.