• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Iringa Region

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Iringa Region

  • Home
  • About Us
    • History
    • Location
    • Vision and Mission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Education
      • Planning and Coordination
      • Health and Social Welfare
      • Economic and Production
      • Infrastructure
      • Water Service
      • LGAs Management
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Service
      • Procurement Management Unit
  • Districts
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • District
    • Iringa MC
    • Mafinga TC
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Investiment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Ruaha National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Civil Servant Cervices
  • Publications
    • Guidlines
    • Policies
    • News
    • Forms
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Videos
    • News Later
    • Events

HISTORIA YAANDIKWA BARABARA YA KWENDA HIFADHI YA RUAHA - ZAIDI YA BILLION 142 KUKAMILISHA MRADI HUO

Posted on: September 21st, 2024

Mamia ya wakaazi wa Mkoa wa Iringa Wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba Leo September 21, 2024 wameshuhudia tukio la kihistoria la utiaji saini mkataba wa ujenzi wa barabara ya lami yenye Km. 104 kutoka Iringa Mjini hadi Hifadhi ya Taifa ya Ruaha

Barabara hiyo ya Iringa- Msembe itaanza kujengwa kwa kiwango cha lami ikiwa ni mchakato uliochukua takribani miaka 60 hadi utekelezaji wake.

Hafla ya utiaji saini kwa mkataba wa ujenzi wa barabara hiyo baina ya Wakala wa Barabara Tanzania(TANROADS) na kampuni ya China Henan International Company Limited (CHICO)  imefanyika katika uwanja wa Samora, Halmashauri ya Manispaa ya Iringa.

Akizungumza katika hafla hiyo Waziri wa Ujenzi Mhe.Innocent Bashungwa (Mb) amesema kuwa mkataba wa ujenzi wa barabara ni mafanikio makubwa kwa Tanzania hasa katika kuinua sekta ya utalii na Uchumi Mkoani Iringa.

Aidha Mhe.Bashungwa amewahikikishia wananchi wanaodai fidia ya kupisha ujenzi wa barabara hiyo kuwa watalipwa stahiki zao kwa wakati baada ya tathimini kumalizika.

Akitoa maelezo ya barabara hiyo Mtendaji mkuu wa TANROADS Eng. Mohamed Besta amesema kuwa ujenzi wa barabara hiyo yenye urefu wa Kilometer 104 utachukua miezi 24 ikigharimu kiasi cha shilingi bilioni 142.56

Akitoa salaamu za Mkoa Mhe. Serukamba ametoa shukrani kwa Serikali huku akiiomba Wizara hiyo kushughulikia kwa haraka suala la fidia.

Kusainiwa kwa mkataba wa ujenzi wa barabara hiyo kumepongezwa na wabunge wa Mkoa wa Iringa waliohudhuria katika hafla hiyo akiwemo Mhe. William Lukuvi (Isimani), Mhe. Jesca Msambatavangu (Iringa mjini), Mhe. Jackson Kiswaga (Kalenga) na wabunge wa viti maalum Mhe. Nancy Nyalusi na Mhe. Rose Tweve ambao  wametaja kama historia kwa mkoa huo na kusema kuwa Serikali imelipa deni kubwa kwa wananchi wa Iringa.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • MTIHANI MWEMA KIDATO CHA SITA

    May 04, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAKAMILISHA ZIARA MKOA WA IRINGA NA KUKABIDHIWA MKOA WA NJOMBE

    May 03, 2025
  • View All

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
More Videos

Quick Links

  • Iringa Region Revenue Collection
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Related Links

  • State House
  • Public Service Recruitment Secretariat
  • PORALG
  • National Bureau of Statitics
  • Information Department
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

COUNTER-free

Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Telephone: +255 262 702 715

    Mobile:

    Email: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.