• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Iringa Region

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Iringa Region

  • Home
  • About Us
    • History
    • Location
    • Vision and Mission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Education
      • Planning and Coordination
      • Health and Social Welfare
      • Economic and Production
      • Infrastructure
      • Water Service
      • LGAs Management
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Service
      • Procurement Management Unit
  • Districts
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • District
    • Iringa MC
    • Mafinga TC
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Investiment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Ruaha National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Civil Servant Cervices
  • Publications
    • Guidlines
    • Policies
    • News
    • Forms
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Videos
    • News Later
    • Events

KUELEKEA KWENYE UZINDUZI WA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WA MAMA SAMIA MKOA WA IRINGA

Posted on: December 9th, 2024

Katibu Tawala Msaidizi Sehemu ya Uchumi na Uzalishahi Mkoa wa Iringa Ndug. Elias Luvanda akimuwakilisha Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa ametoa wito Kwa  Wananchi wa Mkoa wa Iringa kujitoleza kwa wingi katika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa kisheria wa Mama Samia Utakao zinduliwa Disemba 10, 2024 katika Viwanja vya Mwembe Togwa.

Ameyasema hayo leo Disemba 09, 2024 Wakati akizungumza na Wanahabari pamoja na wataalamu mbalimbali wakiwemo Maafisa Ardhi, Wanasheria, Maafisa Maendeleo ya Jamii, Dawati la Jinsia Polisi, Wasaidizi wa Kisheria, pamoja na  Mawakili wa kujitegemea. 

Hata hivyo Kampeni hii itahusisha utoaji elimu kuhusu masuala mbalimbali ya kisheria ikiwemo Maswala ya Ardhi, Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mirathi, Ndoa, Ukatili wa Kijinsia, Madai, Jinai vilevile itahusisha huduma ya usajili na utoaji vyeti vya kuzaliwa na kifo vitakavyotolewa na RITA.

Aidha Kampeni ya Msaada wa kisheria wa Mama Samia  unategemea kufanyika Mkoani Iringa ndani ya Siku kumi kwa lengo la kuwasaidia Wananchi wenye changamoto za kisheria Bure.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • MTIHANI MWEMA KIDATO CHA SITA

    May 04, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAKAMILISHA ZIARA MKOA WA IRINGA NA KUKABIDHIWA MKOA WA NJOMBE

    May 03, 2025
  • View All

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
More Videos

Quick Links

  • Iringa Region Revenue Collection
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Related Links

  • State House
  • Public Service Recruitment Secretariat
  • PORALG
  • National Bureau of Statitics
  • Information Department
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

COUNTER-free

Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Telephone: +255 262 702 715

    Mobile:

    Email: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.