• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Iringa Region

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Iringa Region

  • Home
  • About Us
    • History
    • Location
    • Vision and Mission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Education
      • Planning and Coordination
      • Health and Social Welfare
      • Economic and Production
      • Infrastructure
      • Water Service
      • LGAs Management
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Service
      • Procurement Management Unit
  • Districts
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • District
    • Iringa MC
    • Mafinga TC
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Investiment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Ruaha National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Civil Servant Cervices
  • Publications
    • Guidlines
    • Policies
    • News
    • Forms
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Videos
    • News Later
    • Events

MAONESHO YA KIMATAIFA YA KARIBU KUSINI

Posted on: November 9th, 2022


Waziri wa utalii Mhe, Daktari balozi Pindi chana, Leo tarehe 9/11/2022 amezindua maonyoshe ya utalii  Karibu  Kusini ya mwaka 2022 yaliyofanyika katika viwanja vya Kihesa kilolo katika Manispaa ya Iringa.

Katika uzinduzi huo Waziri Mhe. Pindi Chana, amesema kuwa Mikoa ya kusini imebarikiwa kuwa na vivutio vingi vya  utalii hivyo wananchi wanatakiwa kutunza mazingira na hifadhi ili kuendelea kukuza utalii na kuvutia wawekezaji wengi kusini.

" tunaposema utalii lazima tukumbushane kwamba vipo vitu haviendani na vitendo na masharti ya utalii, maswala haya ni pamoja na changamoto ya uchomaji moto hovyo kwenye hifadhi na vivutio vyetu vya utalii hivyo tunapotangaza utalii na kutunza misitu eneo hili la moto lazima tulidhibiti hivi karibuni mtakumbuka tumepata changamoto ya moto huko Kilimanjaro lazima watanzania wote tuungane kusema moto hapana.

Pia Mhe. Pindi Chana, ametoa pongezi kwa Mhe, Halima Dendego kwa maandalizi mazuri ya maonesho hayo karibu Kusini kwani yamefana sana.

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Halima O. Dendego ametoa shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuhamasisha Utalii na kuleta watalii wengi kupitia sinema ya The Royal Tour.

Maonyesho haya yanafanyika kwa muda wa siku Tano yakihusisha Mikoa 10 kutoka kusini mwa Tanzania.

Imetolewa na Afisa Habari Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • MTIHANI MWEMA KIDATO CHA SITA

    May 04, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAKAMILISHA ZIARA MKOA WA IRINGA NA KUKABIDHIWA MKOA WA NJOMBE

    May 03, 2025
  • View All

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
More Videos

Quick Links

  • Iringa Region Revenue Collection
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Related Links

  • State House
  • Public Service Recruitment Secretariat
  • PORALG
  • National Bureau of Statitics
  • Information Department
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

COUNTER-free

Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Telephone: +255 262 702 715

    Mobile:

    Email: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.