• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Iringa Region

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Iringa Region

  • Home
  • About Us
    • History
    • Location
    • Vision and Mission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Education
      • Planning and Coordination
      • Health and Social Welfare
      • Economic and Production
      • Infrastructure
      • Water Service
      • LGAs Management
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Service
      • Procurement Management Unit
  • Districts
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • District
    • Iringa MC
    • Mafinga TC
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Investiment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Ruaha National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Civil Servant Cervices
  • Publications
    • Guidlines
    • Policies
    • News
    • Forms
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Videos
    • News Later
    • Events

Mazishi ya Mh. Balozi Dr. Augustine Mahiga kijijini kwao Tosamaganga Iringa

Posted on: May 2nd, 2020

Salamu za Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mheshimiwa Ally Hapi katika Mazishi ya Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Mheshimiwa Balozi Dr. Augustine Philip Mahiga Yaliyofanyika Nyumbani Kwao Kijiji cha Tosamaganga Mei 02, 2020

Mheshimiwa Mahige amefariki Mei o1, 2020 baada ya kupata homa ya ghafla huko Dodoma.

Kabla ya kutoa salamu zake za pole Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mheshimiwa Ally Hapi alimkaribisha  Jaji wa Mahakama Kuu Tanzani Iringa Mheshimiwa Pentelini Kente kutoa salamu zake za pole. Akafuatia Dr. Tulia Ackson Mheshimiwa Naibu Spika wa Bunge la Tanzania naye kutoa salamu zake za pole na jinsi alivyoagizwa salamu kutoka kwa Mheshimiwa Job Ndugai Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akitoa salamu za pole kwa ndugu, familia na wanairinga kwa ujumla, Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mheshimiwa Hapi alianza kwa kumshukuru Makamu wa Rais Mheshimiwa Samia Suluhu kwa kuja kuungana nasi katika msiba huu mzito na pia kwa kumuwakilisha Rais wa Tanzania Mheshimiwa John Pombe Magufuli.

Akiongea kwa masikitiko Mheshimiwa Hapi amesema, tumepata pigo kubwa sana. Sisi kama viongozi vijana tunajifunza kutoka kwake kuwa alikuwa mnyenyekevu, mcheshi na asiyependa makuu na alimsikiliza kila mtu na hakuweza kujikweza. Ukisikiliza wasifu wake kuna hana ya kutunga kitabu kwa ajili yake ili vijana tuweze kusoma na kujifunza kile alichokiishi kiongozi huyu. Natoa pole kwa familia na Iringa kwa ujumla kwa kumpoteza kiongozi mahiri mzee wetu.

Baada ya kutoa salamu hizo Mheshimiwa Hapi alimkaribisha Makamu wa Rais  Mama Samia Suluhu naye kutoa salamu zake za pole. Mama Suluhu amesema, nimesimama hapa kwa niaba ya Mheshimiwa Rais naye ameleta pole kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Wizara pia kwa familia na Iringa. Tumeondokewa na mpendwa wetu Waziri mwenye uzoefu, kwani marehemu alikuwa anawakilisha Kitaifa na Kimataifa na kuimarisha ushirikiano, alimaliza kusema Mama Suluhu.

“Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina la Bwana Lihimidiwe, Aamina! “ 

Imetolewa na:

Ofisi ya Habari Mkoa.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • MTIHANI MWEMA KIDATO CHA SITA

    May 04, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAKAMILISHA ZIARA MKOA WA IRINGA NA KUKABIDHIWA MKOA WA NJOMBE

    May 03, 2025
  • View All

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
More Videos

Quick Links

  • Iringa Region Revenue Collection
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Related Links

  • State House
  • Public Service Recruitment Secretariat
  • PORALG
  • National Bureau of Statitics
  • Information Department
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

COUNTER-free

Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Telephone: +255 262 702 715

    Mobile:

    Email: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.