• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Iringa Region

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Iringa Region

  • Home
  • About Us
    • History
    • Location
    • Vision and Mission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Education
      • Planning and Coordination
      • Health and Social Welfare
      • Economic and Production
      • Infrastructure
      • Water Service
      • LGAs Management
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Service
      • Procurement Management Unit
  • Districts
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • District
    • Iringa MC
    • Mafinga TC
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Investiment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Ruaha National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Civil Servant Cervices
  • Publications
    • Guidlines
    • Policies
    • News
    • Forms
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Videos
    • News Later
    • Events

Mhe Ally Hapi, Mkuu wa Mkoa Iringa, amefanya ziara ya kutembelea Tarafa ya Idodi

Posted on: January 28th, 2020

Mhe Ally Hapi, Mkuu wa Mkoa Iringa, amefanya ziara ya kutembelea Tarafa ya Idodi na Kata ya Nzihi na kujionea uharibifu uliofanywa kutoka na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Mkoani Iringa.

Akiwa katika Ziara hiyo Mhe Ally Hapi, alianza kujionea daraja la Nzihi amabalo limebomoka kingo za pembeni mwa daraja hilo na kupelekea kuatarisha maisha ya wasafiri wanatumia njia hiyo, hivyo magari yote yanapita upande mmoja, lakini hata sasa Tanroads wapo kazini kwa ajili ya kutengeneza kingo hizo ili kuzuia daraja hilo lisibomoke.

Baadae Mhe Hapi, na kamati ya Ulinzi na Usalama waliekea katika kituo cha Afya Idodi kwenda kumfariji Bi, Akhadija Keyela, Mkazi wa Kitisi ambaye amefiwa na watoto wake 2 wa kiume ambaye ni Bosko Keyele (8) na Stivini Keyele (5) watoto hao walisombwa na maji wakiwa shambani na mama yao aliyekuwa akiangalia mazao yake. Bi, Akhadija alikuwa na watoto wake 4 shambani  ambapo watoto 2 aliwaokoa.

Akiwa Idodi alienda kijiji cha Tungamalenga ambapo aliona uharibifu mkubwa wa miundombinu ya barabara pamoja na  daraja linalounganisha mbuga ya Ruaha National Park na kijiji cha Tungamalenga. Na baadae alishiriki katika zoezi la ugawaji wa vifaa kwa wahanga waliokumbwa na mafuriko Idodi, msaada huo umetolewa na Redcross pamoja na Halmashauri ya Wilaya ya Iringa wenye thamani ya Milion 4,116,500, vifaa hivyo ni magodoro 30,unga kilo 200, maharage kilo 100, blanket 30, ndoo za lita ishirini 15, madumu ya lita ishirini 15, vifaa vya akina mama 15, vifaa vya jikoni 15.


Mhe Hapi, akiwa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Idodi, amewataka wa Nchi wote wa mkoa wa iringa kuchukua tahadhari na mvua zinazoendela kunyesha, “ amesema kwa mujibu wa taarifa za mamlaka ya hali ya hewa mvua zinazotarajiwa kunyesha ni kubwa sana” hivyo ni vema wananchi wakachukua taadhari mapema. Amewataka wale wote waliojenga mabondeni kuhama haraka sana, walioko mashambani pia nao wasiende kwa kipindi hiki maana hali ya hewa si nzuri sana, na wazazi kuwa makini na watoto wao hasa wanapoenda shule na kurudi majumbani wawafatilie ili wasije wakasombwa na maji, lakini pia amewaonya na walevi wa ulanzi kuwa makini kipindi hiki cha mvua wanywee majumbani au kuacha kabisa na amewataka Wananchi wote wa Mkoa wa Iringa hususani waliokumbwa na mafuriko wachemshe maji ya kunywa ili kuepukana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu.

Imetolwa na Afisa Habari Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa

Humphrey Kisika.


Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • MTIHANI MWEMA KIDATO CHA SITA

    May 04, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAKAMILISHA ZIARA MKOA WA IRINGA NA KUKABIDHIWA MKOA WA NJOMBE

    May 03, 2025
  • View All

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
More Videos

Quick Links

  • Iringa Region Revenue Collection
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Related Links

  • State House
  • Public Service Recruitment Secretariat
  • PORALG
  • National Bureau of Statitics
  • Information Department
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

COUNTER-free

Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Telephone: +255 262 702 715

    Mobile:

    Email: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.