• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Iringa Region

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Iringa Region

  • Home
  • About Us
    • History
    • Location
    • Vision and Mission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Education
      • Planning and Coordination
      • Health and Social Welfare
      • Economic and Production
      • Infrastructure
      • Water Service
      • LGAs Management
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Service
      • Procurement Management Unit
  • Districts
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • District
    • Iringa MC
    • Mafinga TC
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Investiment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Ruaha National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Civil Servant Cervices
  • Publications
    • Guidlines
    • Policies
    • News
    • Forms
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Videos
    • News Later
    • Events

Mkuu wa Mkoa Ally Hapi na Katibu Tawala Mkoa Bi, Happiness Seneda, pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama

Posted on: June 11th, 2020

Mhe Mkuu wa Mkoa Ally Hapi na Katibu Tawala Mkoa Bi,Happiness Seneda, pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoa leo wamepokea taarifa ya mgawanyo wa vitambulisho vya wajasiriamali.Katika kikao hicho mkuu wa Idara ya Uchumi Bwana Elias Luvanda, amesema kuwa mkoa umepokea vitambulisho hivyo 66,000 na wamekwisha kuvigawa kwenye Wilaya zote (3) ambapo mgawanyo upo kama ifuatavyo

  • Wilaya ya Kilolo imepokea vitambulisho elfu 12,000
  • Wilaya ya Iringa imepoikea  vitambulisho elfu 27,000
  • Wilaya ya Mufindi imepokea vitambulisho elfu 27,000
  • Jumla kuu mkoa wa Iringa umepokea vitambulisho elfu 66,000.
  • Mhe hapi, amewataka watendaji kukamilisha zoezi la ugwaji wa vitambulisho hivyo kwa wakati na bila kuleta migogoro yoyote kwa wafanyabiashra, pia amesema ni vema wakaelimishwa wafanyabiashara haokwa sababu zoezi hilo siyo geni. Pia Mhe Mkuu wa Mkoa Hapi,amewataka wafanyabiasahara walioko ndani ya Mkoa wale wenye sifa za kupata vitambulisho hivyo wafike kwenye ofisi za watendaji wa mitaa au Halmashauri husika kwa ajili ya kulipia vitambilisho hivyo ili wafanye biashara zao kwa uhuru, lakini kubwa ni kuchangia pato la Taifa na Mkoa.   

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • MTIHANI MWEMA KIDATO CHA SITA

    May 04, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAKAMILISHA ZIARA MKOA WA IRINGA NA KUKABIDHIWA MKOA WA NJOMBE

    May 03, 2025
  • View All

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
More Videos

Quick Links

  • Iringa Region Revenue Collection
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Related Links

  • State House
  • Public Service Recruitment Secretariat
  • PORALG
  • National Bureau of Statitics
  • Information Department
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

COUNTER-free

Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Telephone: +255 262 702 715

    Mobile:

    Email: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.