• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Iringa Region

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Iringa Region

  • Home
  • About Us
    • History
    • Location
    • Vision and Mission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Education
      • Planning and Coordination
      • Health and Social Welfare
      • Economic and Production
      • Infrastructure
      • Water Service
      • LGAs Management
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Service
      • Procurement Management Unit
  • Districts
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • District
    • Iringa MC
    • Mafinga TC
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Investiment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Ruaha National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Civil Servant Cervices
  • Publications
    • Guidlines
    • Policies
    • News
    • Forms
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Videos
    • News Later
    • Events

MKUU WA MKOA QUEEN SENDIGA AWATAKA WAKUFUNZI WA MRADI WA SEQUIP KUFWATA KILICHO WALETA .

Posted on: June 22nd, 2022

Mhe Qeen Sendiga Ameyasema hayo leo juni 21 kwenye ufunguzi wa warsha ya kuwajengea uwezo wa wawezeshaji wa vituo vya mradi wa SEQUIP yenye jukumu la kuboresha ubora wa elimu kwa wanawake ambao tayari wamejifungua na wameamua kurujea  tena shuleni,


amezungumza hayo alipokuwa katika ukumbi wa Chuo cha Ualimu kreluu  kwenye warsha hiyo na kuwasisitiza katika mda mfupi wa mafunzo hayo wakufunzi wa mradi wa SEQUIP kuhakikisha wanafwata kilicho waleta ili waende kuwa wakufunzi bora katika majukumu yao ili wawe mabalozi wazuri.


Mhe Mkuu wa Mkoa Sendiga, aliongeza kwa kuwataka wakufunzi kutoa upendo kwa wanafunzi wao japo wanafunzi wao ni wazazi tayari na kutotumia lugha zisizofaa katika majukumu yao na kukamilisha majukumu yao kwa upendo.



Mratibu wa SEQUIP Taifa Baraka Kionywaki amemweleza Mhe Sendiga kuwa moja ya jukumu walonalo wao kama SEQUIP ni kutoa elimu ya sekondari kwa njia ya mbadala, hata hivyo alimweleza kuwa mpaka sasa wamepokea bilioni 3 kutoka serikalini ili kutekeleza mradi huo ikiwa na kujenga majengo kwenye Mikoa tofauti ikiwemo na Iringa wameshajenga madarasa 4 jengo la kulelea watoto na jengo la utawala katika eneo la Mawelewele.



Baraka amesema kuwa Ki Taifa wapo wanafunzi 3333 ambao tayari wamesha sajiliwa na Mkoa wa Iringa umesha sajili wanafunzi 189,   ambao kituo cha Saba Saba kuna wanafunzi 67 na 69 wako Chuo cha maendeleo ya jamii ipogoro, mafinga wapo  22  na Igowole wapo wanafunzi 30.


Hata hivyo mradi una walimu 802 Nchi nzima vituo vipo 131,  na  kati ya hivyo Mkoa wa Iringa una vituo 6.


Imetolewa na Afisa habari Mkoa.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • MTIHANI MWEMA KIDATO CHA SITA

    May 04, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAKAMILISHA ZIARA MKOA WA IRINGA NA KUKABIDHIWA MKOA WA NJOMBE

    May 03, 2025
  • View All

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
More Videos

Quick Links

  • Iringa Region Revenue Collection
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Related Links

  • State House
  • Public Service Recruitment Secretariat
  • PORALG
  • National Bureau of Statitics
  • Information Department
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

COUNTER-free

Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Telephone: +255 262 702 715

    Mobile:

    Email: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.