• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Iringa Region

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Iringa Region

  • Home
  • About Us
    • History
    • Location
    • Vision and Mission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Education
      • Planning and Coordination
      • Health and Social Welfare
      • Economic and Production
      • Infrastructure
      • Water Service
      • LGAs Management
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Service
      • Procurement Management Unit
  • Districts
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • District
    • Iringa MC
    • Mafinga TC
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Investiment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Ruaha National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Civil Servant Cervices
  • Publications
    • Guidlines
    • Policies
    • News
    • Forms
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Videos
    • News Later
    • Events

MKUU WA MKOA WA IRINGA AFANYA UZINDUZI WA CHANJO YA PILI YA POLIO

Posted on: May 18th, 2022

Mkuu wa Mkoa Mh. Queen Sendiga amefanya Uzinduzi wa chanjo ya polio Mkoani Iringa Leo Hii tarehe 18/5/2022 ndani ya kambi jeshi la Magereza  Iringa, ambapo ametembea nyumba kwa nyumba kuzindua chanjo hiyo ya polio , katika uzinduzi huo aliongozana na Katibu Tawala Mkoa  Bi Happiness Seneda pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe Mohammed Moyo .

Pia Mkuu wa Mkoa amewataka wananchi wajitokezee kwa wingi na kutoa ushirikiano Mkubwa kwa wahudumu wa afya wanaotoa chanjo hiyo ya polio ,hivyo chanjo hiyo inatolewa kwa watoto wenye umri chini ya Miaka 5.

Akito taarifa hiyo Mganga Mkuu wa Mkoa Daktari Mohamed Mang’ung’a amesema kuwa ‘’ Chanjo ya ugonjwa wa polio inatalajia kufikia watoto jumla 168,658 Pia Mkoa wa Iringa umepokea jumla ya dozi 193,960 ya chanjo ya polio na droppers 193,960’’

Jumla ya Vituo 254 vitakavyo toa huduma ya chanjo ya polio Vituo Ivyo Hospitali 9, Vituo vya afya 29 na Zahanati 216 ndani ya Halmashauri ya Iringa DC, Mufindi DC, Iringa MC, Kilolo DC,Mafinga TC na Iringa

Mhe. Queen Sendiga  amesema chanjo iyo  itasaidia kuwakinga watoto na ulemavu lakini itapelekea kuongeza kinga kwenye mihili ya watoto.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • MTIHANI MWEMA KIDATO CHA SITA

    May 04, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAKAMILISHA ZIARA MKOA WA IRINGA NA KUKABIDHIWA MKOA WA NJOMBE

    May 03, 2025
  • View All

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
More Videos

Quick Links

  • Iringa Region Revenue Collection
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Related Links

  • State House
  • Public Service Recruitment Secretariat
  • PORALG
  • National Bureau of Statitics
  • Information Department
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

COUNTER-free

Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Telephone: +255 262 702 715

    Mobile:

    Email: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.