• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Iringa Region

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Iringa Region

  • Home
  • About Us
    • History
    • Location
    • Vision and Mission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Education
      • Planning and Coordination
      • Health and Social Welfare
      • Economic and Production
      • Infrastructure
      • Water Service
      • LGAs Management
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Service
      • Procurement Management Unit
  • Districts
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • District
    • Iringa MC
    • Mafinga TC
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Investiment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Ruaha National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Civil Servant Cervices
  • Publications
    • Guidlines
    • Policies
    • News
    • Forms
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Videos
    • News Later
    • Events

MKUU WA MKOA WA IRINGA MHE. SENDIGA AWASHUKIA MADEREVA NA MAKONDAKTA WA DALADALA KUWEKA VIFAA VYA KUHIFADHIA TAKA NDANI YA GARI

Posted on: June 28th, 2021

*MKUU WA MKOA WA IRINGA MHE. SENDIGA AWASHUKIA MADEREVA NA MAKONDAKTA WA DALADALA KUWEKA VIFAA VYA KUHIFADHIA TAKA NDANI YA GARI*


Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe.Qeen Sendiga amezindua kampeni ya Iringa safi iliyofanyika leo tarehe 26/6/2021 mara baada ya matembezi ya hiyari ya kuokota taka taka kwa lengo la kuhamasisha jamii kushiriki katika masuala ya usafi na utuzaji wa Mazingira


Mh.Sendiga amewataka wananchi kutimiza wajibu wao wa  kufanya usafi  bila kusubiri kuhamasishwa na viongozi kwani usafi ni jukumu la kila mmoja


Aidha ametoa wito kwa madereva wa daladala  na makondakta kuwa na vifaa vya kuhifadhia taka katika gari zao ili kuepusha mlundikano wa taka katika eneo la stendi kuu ya zamani unasababishwa na baadhi yao kutupa taka eneo hilo jambo ambalo linahatarisha  afya za wananchi


Mh.Eliud Mvela ni Diwani wa Kata ya Mkimbizi akimuwakilisha Mstahiki Meya  amesema  kwa muda mrefu Manispaa ya Iringa inafanya vizuri katika  mashindano ya usafi wa Mazingira  ambayo hujumuisha Majiji,Miji, na Halmashauri zote nchini na imekuwa ikishika nafasi za juu  za ushindi na kwa mwaka huu kutokana na mikakati iliyowekwa na Madiwani kwa kushirikiana na Menejimenti kwenye vikao vya ndani amemuhakikishia Mkuu wa Mkoa kuwa Manispaa itashika nafasi ya kwanza katika mashindano hayo


Abdon Mapunda ni kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa na mkuu wa kitengo cha Mazingira  amesema anapokea maelekezo yote yaliyotolewa na Mkuu wa Mkoa  ikiwemo kukamatwa kwa yeyote atakayeonekana kutupa taka hovyo na kuahidi kuyafanyia kazi mara moja


Paulo Myovela ni mwenyekiti wa Envibright anasema  changamoto kubwa wanazokabiliana nazo ni upungufu wa vifaa na kuwaomba wadau kujitokeza kusaidia vifaa vitakavyorahisisha utendaji kazi ili kufikia malengo


Kampeni hiyo ya Iringa safi imezinduliwa leo na kuhudhuriwa na viongozi  mbali mbali wakiwepo Waheshimiwa Madiwani,wakuu wa idara na vitengo na wadau Nipe fagio pamoja na Envibright.


Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • MTIHANI MWEMA KIDATO CHA SITA

    May 04, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAKAMILISHA ZIARA MKOA WA IRINGA NA KUKABIDHIWA MKOA WA NJOMBE

    May 03, 2025
  • View All

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
More Videos

Quick Links

  • Iringa Region Revenue Collection
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Related Links

  • State House
  • Public Service Recruitment Secretariat
  • PORALG
  • National Bureau of Statitics
  • Information Department
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

COUNTER-free

Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Telephone: +255 262 702 715

    Mobile:

    Email: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.