• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Iringa Region

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Iringa Region

  • Home
  • About Us
    • History
    • Location
    • Vision and Mission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Education
      • Planning and Coordination
      • Health and Social Welfare
      • Economic and Production
      • Infrastructure
      • Water Service
      • LGAs Management
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Service
      • Procurement Management Unit
  • Districts
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • District
    • Iringa MC
    • Mafinga TC
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Investiment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Ruaha National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Civil Servant Cervices
  • Publications
    • Guidlines
    • Policies
    • News
    • Forms
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Videos
    • News Later
    • Events

MRADI WA USAID TULONGE AFYA WAPONGEZWA KWA KUTUMIA APROCHI YA ‘SBCC’

Posted on: December 16th, 2017


Na. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

USAID Tulonge Afya wapongezwa kwa kuchagua kutumia mbinu za mabadiliko ya tabia kwa wanajamii (Social Behavior Change Communication approach) katika kufanikisha malengo ya mradi huo.

Pongezi hizo zilitolewa na Katibu Tawala Mkoa wa Iringa, Wamoja Ayubu alipokuwa akifungua kikao cha kuutambulisha mradi wa USAID Tulonge Afya unaotekelezwa na shirika la FHI 360 kilichofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Gentle Hills mjini Iringa jana.

Ayubu alisema kuwa mradi huo umechagua kutumia mbinu za mabadiliko ya tabia kwa wanajamii (SBCC). “Nimefurahishwa sana kwa kutambua umuhimu wa mbinu hii mliyoichagua katika kuleta mabadiliko hasa pale inapotumika kwa ufasaha” alisema Ayubu. Aidha, alimtaka meneja mradi wa kanda kusimamia vizuri mradi huo ili mwisho wa utekelezaji mabadiliko chanya ya tabia za wananchi yaweze kuonekana.

Katibu Tawala Mkoa wa Iringa aliutaka mradi wa USAID Tulonge Afya kusaidia kuongeza kasi katika utekelezaji wa mkakati wa Mkoa wa kupunguza maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi. “Natambua pia mkakati wa Mkoa ni kupunguza maambukizi mapya ya Virusi vya UKIMWI, kuhakikisha wanaoishi na maambukizi ya VVU wanakuwa na ufuasi mzuri wa dawa, kupunguza vifo vya mama na mtoto, kupunguza maambukizi ya Malaria pamoja na kuongeza matumizi ya huduma za uzazi wa mpango” alisema Ayubu.

=30=




Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • MTIHANI MWEMA KIDATO CHA SITA

    May 04, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAKAMILISHA ZIARA MKOA WA IRINGA NA KUKABIDHIWA MKOA WA NJOMBE

    May 03, 2025
  • View All

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
More Videos

Quick Links

  • Iringa Region Revenue Collection
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Related Links

  • State House
  • Public Service Recruitment Secretariat
  • PORALG
  • National Bureau of Statitics
  • Information Department
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

COUNTER-free

Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Telephone: +255 262 702 715

    Mobile:

    Email: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.