Mwenge wa Uhuru 2025 mara baada ya kukamilisha ziara yake katika Mkoa wa Iringa Mei,03,2025 Mkuu wa Mkoa wa Iringa akiwa ameambatana na Kamati ya Usalama ya Mkoa,viongozi wa Vyama vya siasa,Machifu ,watumishi na wananchi kukabidhi Mwenge wa Uhuru Mkoani Njombe na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anton Mtaka
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Telephone: +255 262 702 715
Mobile:
Email: ras@iringa.go.tz
Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.