• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Iringa Region

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Iringa Region

  • Home
  • About Us
    • History
    • Location
    • Vision and Mission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Education
      • Planning and Coordination
      • Health and Social Welfare
      • Economic and Production
      • Infrastructure
      • Water Service
      • LGAs Management
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Service
      • Procurement Management Unit
  • Districts
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • District
    • Iringa MC
    • Mafinga TC
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Investiment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Ruaha National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Civil Servant Cervices
  • Publications
    • Guidlines
    • Policies
    • News
    • Forms
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Videos
    • News Later
    • Events

MWENGE WA UHURU KUTEMBELEA MIRADI 40 IRINGA

Posted on: May 21st, 2018

Na. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Iringa

Mwenge wa uhuru utatembelea miradi ya maendeleo 40 yenye thamani ya shilingi 24,427,360,696.40 mkoani Iringa na kutoa ujumbe maalum wa mwaka 2018.

Akitoa taarifa ya ujuo wa mwenge wa uhuru kwa wananchi kupitia vyombo vya habari vya mkoa wa Iringa, mkuu wa mkoa wa Iringa manina masenza alisema kuwa mwenge wa uhuru utatembelea, kagua, kuzindua, kufungua na kuweka mawe ya msingi,  jumla ya miradi 40. Aliongeza kuwa miradi hiyo ina thamani ya shilingi 24,427,360,696.40. “Miradi hiyo inatoka sekta za elimu (10), afya (7), maji (4) maliasili (1), kilimo (5), viwanda viwili (2) uvuvi (1) na mapambano dhidi ya rushwa (4). Gharama za miradi hiyo zimetokana na michango ya wananchi shilingi 1,251,610,850.00, Serikali kuu shilingi 8,638,969,449.40, Halmashauri shilingi 253,564,461.00 na wadau wa maendeleo shilingi 14,283,215,936.00”    

Akiongelea ujumbe wa mwenge wa uhuru mwaka 2018, mkuu wa mkoa wa Iringa alisema kuwa Mwenge wa Uhuru utatoa ujumbe maalumu na ujumbe wa kudumu katika maeneo yote ambako utakimbizwa. Ujumbe maalumu wa Mwenge wa Uhuru wa mwaka 2018 ni: ‘Elimu ni Ufunguo wa Maisha; Wekeza sasa kwa maendeleo ya Taifa letu’. Ujumbe huu unalenga kutilia mkazo umuhimu wa uwekezaji katika elimu unaofanywa na serikali pamoja na Wananchi ikiwa ni mkakati madhubuti katika kupiga vita umaskini na kujenga taifa lenye maendeleo ya viwanda alisema mkuu wa mkoa.

Pamoja na kutoa ujumbe mahususi, Mwenge wa Uhuru utaendelea kuhimiza mapambano dhidi ya UKIMWI chini ya kauli mbiu isemayo ‘mwananchi jitambue; pima afya yako sasa’. Ujumbe mwingine aliutaja kuwa ni mapambano dhidi ya Malaria chini ya kauli mbiu isemayo ‘Shiriki kutokomeza Malaria kwa manufaa ya Jamii’

Ujumbe mwingine ni mapambano dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya chini ya kauli mbiu isemayo ‘Tuwasikilize na kuwashauri watoto ili wasitumie dawa za kulevya’ na Mapambano ya kutokomeza Rushwa chini ya kauli mbiu isemayo:-‘Kataa Rushwa- Jenga Tanzania’.

Mwenge wa Uhuru utakimbizwa mkoani Iringa kwa siku tano na kukabidhiwa mkoani Njombe tarehe 28/5/2018.

=30=

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • MTIHANI MWEMA KIDATO CHA SITA

    May 04, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAKAMILISHA ZIARA MKOA WA IRINGA NA KUKABIDHIWA MKOA WA NJOMBE

    May 03, 2025
  • View All

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
More Videos

Quick Links

  • Iringa Region Revenue Collection
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Related Links

  • State House
  • Public Service Recruitment Secretariat
  • PORALG
  • National Bureau of Statitics
  • Information Department
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

COUNTER-free

Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Telephone: +255 262 702 715

    Mobile:

    Email: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.