• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Iringa Region

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Iringa Region

  • Home
  • About Us
    • History
    • Location
    • Vision and Mission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Education
      • Planning and Coordination
      • Health and Social Welfare
      • Economic and Production
      • Infrastructure
      • Water Service
      • LGAs Management
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Service
      • Procurement Management Unit
  • Districts
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • District
    • Iringa MC
    • Mafinga TC
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Investiment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Ruaha National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Civil Servant Cervices
  • Publications
    • Guidlines
    • Policies
    • News
    • Forms
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Videos
    • News Later
    • Events

RC DENDEGO AINGIA KAZINI KUSAKA MAMBA MTERA

Posted on: January 11th, 2024

Ikiwa ni siku chache vyombo vya habari kuripoti tukio la mwananchi aliyeliwa na mamba katika bwawa la mtera lililopo kata ya migori, Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Mkuu wa mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendego leo amefanya ziara katika kata hiyo na kuonana na wananchi na wavuvi wanaovua katika Bwawa hilo.

Awali kabla ya kuzungumza na wananchi hao Mkuu wa Mkoa alisikiliza maoni yao na kutaka kufahamu nini kifanyike ili kukabiliaba na mamba hao, ambapo wananchi hao walimuomba Mkuu wa Mkoa kwa kuwa Silaha za kisasa kama Bunduki zinashindwa kufanya kazi majini basi waweze kutumia silaha za asili kama ndoano katika kuwanasa mamba hao ambao wamekuwa na madhara kwa binadamu.

Akizungumza na wananchi hao baada ya kusikiliza maoni yao Mhe. Dendego akatoa maagizo kwa viongozi wa eneo hilo kwa kuwataka kuanza kazi mara moja ya kutega ndoano ili kuwanansa mamba hao pia akawataka TAWA kushirikiana kwa pamoja na viongozi na wananchi katika kila hatua inayofanyika ili kuondokana na changamoto hiyo.

Pia Mhe. Dendego ameongeza kwa kuwaomba wavuvi hao katika kipindi hiki wanapokwenda bwawani kuvua kuhakikisha wananenda kwa makundi ya watu kadhaa na sio kwenda mmoja mmoja ili linapotaka kutokea jambo basi wahakikishe wanakuwa karibu kuweza kusaidiana wakiwa bwawani.

Aidha Mhe. Dendego amesema kuwa katika mwaka wa fedha Serikali itatenga fedha kwa wananchi wa kata hiyo kwaajili ya ununzi wa Boti zitakazo wasaidia wavuvi hao katika shuguli zao na kuachana na mitumbwi ambayo kwa sasa inawaletea matatizo pindi wanapofanya shughuli za uvuvi.

Sambamba na hayo wananchi wa kata ya migoli wamemshukuru sana Mkuu wa Mkoa na Serikali kwa kuwatengea fedha kwaajili ya ununuzi wa boti wakisema kuwa uwepo wa boti hizo utakuwa ni mkombozi kwao na hakuta kuwa na madhara kama hayo.

Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • MTIHANI MWEMA KIDATO CHA SITA

    May 04, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAKAMILISHA ZIARA MKOA WA IRINGA NA KUKABIDHIWA MKOA WA NJOMBE

    May 03, 2025
  • View All

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
More Videos

Quick Links

  • Iringa Region Revenue Collection
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Related Links

  • State House
  • Public Service Recruitment Secretariat
  • PORALG
  • National Bureau of Statitics
  • Information Department
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

COUNTER-free

Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Telephone: +255 262 702 715

    Mobile:

    Email: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.