• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Iringa Region

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Iringa Region

  • Home
  • About Us
    • History
    • Location
    • Vision and Mission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Education
      • Planning and Coordination
      • Health and Social Welfare
      • Economic and Production
      • Infrastructure
      • Water Service
      • LGAs Management
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Service
      • Procurement Management Unit
  • Districts
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • District
    • Iringa MC
    • Mafinga TC
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Investiment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Ruaha National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Civil Servant Cervices
  • Publications
    • Guidlines
    • Policies
    • News
    • Forms
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Videos
    • News Later
    • Events

RC IRINGA ACHUKIZWA NA VIKUNDI AMBAVYO AVIJAREJESHA MIKOPO YA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA.

Posted on: June 19th, 2023


Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mheshimiwa Halima Dendego  ameipongeza Halmashauri ya Mji Mafinga kwa kupata Hati Safi kwa Hesabu zinazoishia tarehe 30 Juni, 2022.

Akiwa kwenye kikao Cha Baraza maalumu la madiwa la kujibu hoja za CAG mhe, Dendego amewataka waheshimiwa maadiwani Halmashauri ya Mji Mafinga kuifahamu vizuri  miradi inayotekelezwa kwenye Kata zao Kwa sababu wao ndio jicho la karibu la Mkuu wa mkoa, pia inatakiwa kujua miradi na muda wa

 Utekelezaji wa mradi Ili kujua thamani ya fedha iliyotumika kama inaendana na mradi unaotekelezwa kwenye kata yake

Mheshimiwa Dendego ameitaka Halmashauri ya Mji Mafinga kuhakikisha wanatumia mafundi wenye sifa katika kutekeleza miradi inayotekelezwa kwa kutumia force account Ili kuondoa hoja zisizo na tija.


Ndugu Eng, Leornad Massanja Katibu Tawala Mkoa wa iringa amesema kuwa Kuna hoja zingine ni nyepesi zinaweza kufungwa mapema kama menejimenti ya halmashauri itazijibu vizuri pasipo kuleta hadithi.


Eng, Massanja amemuagiza mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa mafinga kumletea orodha ya watumishi wote wanaotuhimiwa kuanziaha vikundi hewa na kuchukua mkopo wa halmashauri hiyo na kusababisha hoja Kwa mkaguzi wa nje (CAG) kupitia kikundi kinachoitwa mnyigumba " naagiza  ndani ya siku 3 nipate orodha hiyo Ili hatua za kinidhamu zichukuliwe dhidi ya wahusika wote kuanzia mwenyekiti, katibu na mwekahazina wa kikundi hicho".

Baadae Mhe. Halima Dendego aliagiza waitwe maafisa watendaji wa kata na Maendeleo ya jamii wote, akiwa kwenye kikao hicho  cha pili na maafisa hao ametoa wiki 2 kuanzia Leo hii Kila afisa ahakikishe anaenda kukusanya fedha hizo za mkopo wa halmashauri Kwa sababu wanavijua vikundi vizuri na wala ataki kusikia habari kwamba vilivunjika hatua za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yao.

Amefikia hatua hiyo Mhe Dendego baada ya kuona Kwa asilimia kubwa za hoja zinausisha vikundi vilivyochukua mikopo kwenye halmashauri hiyo na hakuna urejeshwaji Kwa kisingizio baadhi ya vikundi vimesambalatika.

Imetolewa na Afisa habari ofisi ya Mkuu wa mkoa Iringa.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • MTIHANI MWEMA KIDATO CHA SITA

    May 04, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAKAMILISHA ZIARA MKOA WA IRINGA NA KUKABIDHIWA MKOA WA NJOMBE

    May 03, 2025
  • View All

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
More Videos

Quick Links

  • Iringa Region Revenue Collection
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Related Links

  • State House
  • Public Service Recruitment Secretariat
  • PORALG
  • National Bureau of Statitics
  • Information Department
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

COUNTER-free

Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Telephone: +255 262 702 715

    Mobile:

    Email: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.