• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Iringa Region

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Iringa Region

  • Home
  • About Us
    • History
    • Location
    • Vision and Mission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Education
      • Planning and Coordination
      • Health and Social Welfare
      • Economic and Production
      • Infrastructure
      • Water Service
      • LGAs Management
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Service
      • Procurement Management Unit
  • Districts
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • District
    • Iringa MC
    • Mafinga TC
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Investiment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Ruaha National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Civil Servant Cervices
  • Publications
    • Guidlines
    • Policies
    • News
    • Forms
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Videos
    • News Later
    • Events

Afisa Maendeleo ya Jamii katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Saida Mgeni.

Posted on: November 24th, 2017

TANZANIA MSTARI WA MBELE KUPINGA UBAGUZI KWA WATOTO NA WANAWAKE

Na. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa-IRINGA

Tanzania ipo mstari wa mbele katika kuheshimu haki na utu wa mwanamke kwa kutekeleza mkataba wa umoja wa mataifa wa kupinga aina zote za ubaguzi dhidi ya watoto na wanawake.

Kauli hiyo ilitolewa na Katibu Tawala Mkoa wa Iringa, Wamoja Ayubu katika maelezo yake wakati wa uzinduzi wa kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia uliyofanyika ngazi ya mkoa katika halmashauri ya Wilaya ya Kilolo na kusomwa na Afisa maendeleo ya jamii katika Ofisi ya mkuu wa mkoa, Saida Mgeni.

Katibu Tawala Mkoa alisema kuwa nchi ya Tanzania ipo mstari wa mbele katika kuheshimu haki na utu wa mwanamke kwa kutekeleza mkataba wa umoja wa mataifa wa kupinga aina zote za ubaguzi dhidi ya wanawake na watoto ambao Tanzania imeusaini na kuuridhia. Serikali kwa kushirikiana na wanasiasa, viongozi wa dini, mashirika ya hiyari na watu binafsi wamekuwa wakitumia kampeni hii kuhamasisha jamii kwa lengo la kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto. Alisema kuwa maadhimisho haya yalenge kutafakari mafanikio na changamoto zinazoikabili jamii na kuandaa mkakati wa kukabiliana na vitendo vya ukatili wa kijinsia.

Katibu Tawala Mkoa alisema kuwa kwa kipindi cha miaka miwili kuanzia Januari 2016-septemba, 2017, wanawake 904 wamefanyiwa ukatili wa aina moja au nyingine. Aliongeza kuwa ukatili wa kijinsia unachangia maongezeko ya maambukizi ya virusi vya ukimwi. “Mkoa wa Iringa ni miongoni mwa mikoa yenye kiwngo kikubwa cha mambukizi ya vvu. Watu wenye umri wa miaka 15-49 ambao ni asilimia 9.1 na maambukizi ya wanawake ni asilimia 10.2 ikilinganishwa na asilimia 6.9 ya wanaume. Kitaifa ni asilimia 5.1 ambapo wanawake ni asilimia 6.3 na wanaume asilimia 3.5” alisisitiza Katibu Tawala Mkoa.

Kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ilizinduliwa ngazi ya Mkoa, katika Kijiji cha Lyasa, Kata ya Image Wilaya ya Kilolo chini ya kaulimbiu ya isemayo ‘funguka! Ukatili dhidi ya wanawake na watoto haumuachi mtu salama chukua hatua’.    

=30=









Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • MTIHANI MWEMA KIDATO CHA SITA

    May 04, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAKAMILISHA ZIARA MKOA WA IRINGA NA KUKABIDHIWA MKOA WA NJOMBE

    May 03, 2025
  • View All

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
More Videos

Quick Links

  • Iringa Region Revenue Collection
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Related Links

  • State House
  • Public Service Recruitment Secretariat
  • PORALG
  • National Bureau of Statitics
  • Information Department
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

COUNTER-free

Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Telephone: +255 262 702 715

    Mobile:

    Email: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.