• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Iringa Region

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Iringa Region

  • Home
  • About Us
    • History
    • Location
    • Vision and Mission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Education
      • Planning and Coordination
      • Health and Social Welfare
      • Economic and Production
      • Infrastructure
      • Water Service
      • LGAs Management
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Service
      • Procurement Management Unit
  • Districts
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • District
    • Iringa MC
    • Mafinga TC
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Investiment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Ruaha National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Civil Servant Cervices
  • Publications
    • Guidlines
    • Policies
    • News
    • Forms
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Videos
    • News Later
    • Events

UMEME WAKWAMISHA UJENZI WA VIWANDA

Posted on: December 2nd, 2017


Na. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

Upungufu wa upatikanaji wa umeme umekuwa kikwazo katika juhudi za uanzishaji wa miradi ya kiuchumi na ujenzi wa viwanda mkoani Iringa.

Kauli hiyo ilitolewa na mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza alipokuwa akiwasilisha taarifa fupi ya Mkoa wa Iringa kwa waziri wa Nishati ofisini kwake jana.

Masenza alisema “mheshimiwa waziri, pamoja na utekelezaji huu wa kusukuma maendeleo ya wananchi, kumekuwa na changamoto kadhaa zinazochelewesha juhudi hizi. Baada ya wananchi kuitikia wito wa uanzishaji miradi ya kiuchumi ikiwemo ujenzi wa viwanda, pamekuwa na upungufu katika kupatikana kwa umeme wa uhakika. Maeneo yanayokumbwa na tatizo hili ni pamoja na Iringa mjini na wilaya ya Mufindi”. Changamoto nyingine ni miradi mikubwa ya kufua umeme inahitaji uwekezaji mkubwa na fedha nyingi, hivyo kuwa kikwazo kwa wananchi wazalendo na kushauri serikali kuwa na udhamini kwa miradi hiyo.

Mkuu wa Mkoa alisema kuwa Mkoa utaendelea kukabiliana na changamoto hizo kwa kushirikiana na wadau kwa kuwa na ramani itakayoonesha maeneo ya viwanda. “Ramani hii ikikamilika itawasilishwa kwenye mamlaka zinazosimamia miundombinu kama umeme, maji, barabara ili kuhakikisha Mkoa unakuwa na mazingira bora na wezeshi kwa ujenzi na uendelezaji wa viwanda” alisema mkuu wa Mkoa.

Waziri wa Nishati alifanya ziara ya siku moja kukagua viwanda vinavyozalisha nguzo mkoani Iringa ili kujiridhisha na uwezo wa viwanda hivyo kuzalisha nguzo nchini.

=30= 

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • MTIHANI MWEMA KIDATO CHA SITA

    May 04, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAKAMILISHA ZIARA MKOA WA IRINGA NA KUKABIDHIWA MKOA WA NJOMBE

    May 03, 2025
  • View All

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
More Videos

Quick Links

  • Iringa Region Revenue Collection
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Related Links

  • State House
  • Public Service Recruitment Secretariat
  • PORALG
  • National Bureau of Statitics
  • Information Department
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

COUNTER-free

Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Telephone: +255 262 702 715

    Mobile:

    Email: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.