• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Iringa Region

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Iringa Region

  • Home
  • About Us
    • History
    • Location
    • Vision and Mission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Education
      • Planning and Coordination
      • Health and Social Welfare
      • Economic and Production
      • Infrastructure
      • Water Service
      • LGAs Management
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Service
      • Procurement Management Unit
  • Districts
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • District
    • Iringa MC
    • Mafinga TC
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Investiment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Ruaha National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Civil Servant Cervices
  • Publications
    • Guidlines
    • Policies
    • News
    • Forms
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Videos
    • News Later
    • Events

VIONGOZI WATAKIWA KUWAUNGANISHA WAMACHINGA

Posted on: March 3rd, 2024

Mkuu wa mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendego amewataka viongozi wa machinga kwa  Umoja wa Machinga SHIUMA na wale wa Iringa Machinga Network kukaa meza moja na kumaliza tofauti zilizopo ili kuwaweka pamoja machinga hao na kuepukana na makundi yaliyopo kwasasa.

 Akizungumza na machinga  wakati alipokutana nao kwa lengo la kusikiliza changamoto wanazokumbana nazo Mhe. Dendego baada ya kusikiliza pande zote mbili amewaomba viongozi hao kukaa kwa pamoja kuzungumza kwa nia njema ili kuwaunganisha machinga hawa waweze kufanya kazi na kujipatia kipato.

Pia Mhe. Dendego ameendelea kuwahimiza machinga hao kufanya kazi kwa bidiii kuacha kulalamika kwenye mitandao na badala yake wafike katika Ofisi za Serikali kuweza kuonana na viongozi kuwaelezea shida zao.

Nae kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa SACP Allan Bukumbi amewataka machinga hao kutumia vyema mitandao ya kijamii kwa lengo la kuwaingizia kipato na si kutumia mitandao hiyo kuleta migogoro kwenye jamii

Kikao hicho kimewahusisha viongozi wa Bodaboda,Bajaj,Daladala na Machinga wa Soko la Mlandege

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • MTIHANI MWEMA KIDATO CHA SITA

    May 04, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAKAMILISHA ZIARA MKOA WA IRINGA NA KUKABIDHIWA MKOA WA NJOMBE

    May 03, 2025
  • View All

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
More Videos

Quick Links

  • Iringa Region Revenue Collection
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Related Links

  • State House
  • Public Service Recruitment Secretariat
  • PORALG
  • National Bureau of Statitics
  • Information Department
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

COUNTER-free

Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Telephone: +255 262 702 715

    Mobile:

    Email: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.