• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Iringa Region

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Iringa Region

  • Home
  • About Us
    • History
    • Location
    • Vision and Mission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Education
      • Planning and Coordination
      • Health and Social Welfare
      • Economic and Production
      • Infrastructure
      • Water Service
      • LGAs Management
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Service
      • Procurement Management Unit
  • Districts
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • District
    • Iringa MC
    • Mafinga TC
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Investiment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Ruaha National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Civil Servant Cervices
  • Publications
    • Guidlines
    • Policies
    • News
    • Forms
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Videos
    • News Later
    • Events

WAKUU WA WILAYA WAPYA IRINGA WAAPA KUWATUMIKIA WANANCHI KWA MUUNGOZO WA ILANI YA CCM

Posted on: June 21st, 2021

WAKUU WA WILAYA WAPYA IRINGA WAAPA KUWATUMIKIA WANANCHI KWA MUUNGOZO WA ILANI YA CCM

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Queen Sendiga, siku ya leo Juni 21. 2021 amewaapisha wakuu wapya wa Wilaya wawili wa Iringa na Mufindi katika ukumbi wa Mikutano wa Siasa na Kilimo, na Mkuu wa Wilaya ya kilolo yeye ameapa kiapo cha maadili kwa sababu amebadilishiwa kituo cha kazi.

Uwapisho huo umefanyioka mara baada ya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya wa nchi nzima uliofanywa na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu siku ya Jumamosi tarehe 19.06.2021

Majina ya Wakuu wa Wilaya wa Mkoa wa Iringa walioapishwa ni pamoja na Mhe. Mohamed Moyo, (Mkuu wa Wilaya ya Iringa), Mhe. Saady  Mtambule (Mkuu wa wilaya ya Mufindi), na Mhe. Peres Magiri (Mkuu wa Wilaya ya Kilolo)

Aidha mara baada ya kuapishwa kwao, akizungumza mbele ya Wakuu hao wa Wilaya,

 Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Queen amewataka viongozi hao kwenda kutumika kwa manufaa ya Wananchi kupitia kutatua changamoto zote zinazowakumba pamoja na kusimamia vyema miradi ya maendeleo katika kila maeneo yao ya kazi

“hakikisheni mnatenda haki bila upendeleo wowote, bila kubagua dini wala kabila kwani Tanzania ni ya watu wote na  wote ni sawa, hivyo msitumie madaraka yenu kuwaonea wengine” Mhe. Queen amesema

Mwisho, viongozi hao wameahidi mbele ya Mkuu wa Mkoa kwenda kusimama na kutekeleza majumu yao kama ilani ya Chama cha Mapinduzi inavyowataka kutumika, Alisema Mhe. Saady Mtambule kwa niaba ya wakuu wa Wilaya walioapishwa.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • MTIHANI MWEMA KIDATO CHA SITA

    May 04, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAKAMILISHA ZIARA MKOA WA IRINGA NA KUKABIDHIWA MKOA WA NJOMBE

    May 03, 2025
  • View All

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
More Videos

Quick Links

  • Iringa Region Revenue Collection
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Related Links

  • State House
  • Public Service Recruitment Secretariat
  • PORALG
  • National Bureau of Statitics
  • Information Department
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

COUNTER-free

Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Telephone: +255 262 702 715

    Mobile:

    Email: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.