Posted on: May 4th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba anawatakia Mtihani Mwema Wanafunzi wote wa kidato cha sita wanaotarajia kuanza mtihani Mei 05 , 2025...
Posted on: May 3rd, 2025
Mwenge wa Uhuru 2025 mara baada ya kukamilisha ziara yake katika Mkoa wa Iringa Mei,03,2025 Mkuu wa Mkoa wa Iringa akiwa ameambatana na Kamati ya Usalama ya Mkoa,viongozi wa Vyama vya siasa,Machifu ,w...
Posted on: April 29th, 2025
Ikiwa ni siku ya pili ya ziara ya mwenge Mkoa wa Iringa, leo April,29,2025 Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe. Kheri James amemkabidhi mwenge wa uhuru Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Mhe. Rebeca Nsemwa.
Mwenge ...