• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Iringa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahala
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Maji
      • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Huduma za Kisheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • Halmashauri
    • Iringa MC
    • Mafinga Mji
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda na Biashara
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Hifadhi ya Taifa Ruaha
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Habari
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • News Later
    • Matukio

Mhe.Asia Abdalah (DC Kilolo) wa pili toka kushoto,akiwaamemwakilisha Mhe,Mkuu wa mkoa wa Iringa,katika kilele cha maenesho ya Nanenane

Posted on: August 13th, 2019

Mhe.Asia Abdalah (DC Kilolo) wa pili toka kushoto,akiwaamemwakilisha Mhe,Mkuu wa mkoa wa Iringa,katika kilele cha maenesho ya Nanenane yaliyofanyika jijini Mbeya.Mgeni rasmi wa maonesho hayo alikuwa Mhe,Peter Pinda(Waziri Mkuu Mstaafu).Katika maonesho hayo ambayo imeshiriki mikoa 7 ya Nyanda za juu kusini,Mhe.Pinda,alitembea mabanda kadha kwa mujibu wa ratiba ili kujionea shughuli wanazofanya na mazao walizonazo,katika mkoa wa Iringa tulipata bahati ya kutembelewa Halmashauri ikuiwemo Halmashauri ya wilaya ya Mufindi na Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo.Mgeni rasmi alifurahishwa sana alipoona wakulima,na wafugaji wanavyopambana na kijikwamua na wimbi la umaskini na kuwataka kuendelea kutoa Elimu ya kilimo,Uvuvi  na ufugaji kwani itasaidia kwa wananchi mmoja mmoja kufikia uchumi wa kati.Katika hotuba yake Mhe.Pinda,ameagiza mikoa 7 ya Nyanda za juu kusini ihakikishe ipambane kwa kuzalisha chakula kwa wingi na kutokomeza UTAPIA MLO ambao umekuwa ni tatizo kwa mikoa hii 7.Pili ameagiza viongozi wote wahakikishe vijana wanashirikishwa kikamilifu katika shughuli za uzalishaji mali ili kuleta maendeleo katika Taifa.Katika kilele cha maonesho ya Nanenane 2019 Mhe,Pinda alikabidhi zawadi kwa wakulima na wafugaji waliofanya vizuri,ambapo Halmashauri ya Kilolo,ilipata zawadi ya Mfugaji bora kikanda  na Halmashari ya Wilaya ya Iringa  ilishinda  nafasi ya pili kikanda kwenye eneo la kilimo,walikabidhiwa kombe na cheti.Tunatoa hongera kwa Halmashauri zote kwa kushiriki vyema pamoja na wakulima,wafugaji na sekta ya uvuvi kwa ushindi huo.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • ‎RC SERUKAMBA AITAKA TRA KUDHIBITI RISITI FEKI, KUHAMASISHA ELIMU YA KODI

    May 19, 2025
  • TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM MKOA WA IRINGA.

    May 18, 2025
  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • Tazama zote

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Iringa
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji Kidunia

world map hits counter

Jumla ya Watembeleaji

COUNTER-free

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Simu: +255 262 702 715

    Mobile:

    Barua pepe: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2025, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.