Mahali Mkoa ulipo
Mkoa wa Iringa upo katika Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania ambapo kwa upande wa Kaskazini unapakana na Mikoa ya Dodoma, Mkoa wa Mbeya upande wa Magharibi, Mkoa wa Morogoro upande wa Mashariki na Mkoa wa Njombe kwa upande wa Kusini.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.