Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe Peter Serukamba akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka wametembelea na kukagua eneo ambalo makabidhiano ya mwenge wa uhuru yatakapo fanyika ambapo Mkoa wa Njombe utakabidhi mwenge wa uhuru Mkoani Iringa Tarehe 22/06/2024 kwenye viwanja vya shule ya Msingi Nyigo.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.