Mkuu wa mkoa iringa mh:sendiga amefanya ziara yake mkoani iringa kata ya luhota kwenye mladi wa daraja ambalo linajengwa ili kuwasaidia wananchi wa luhota katika usafirishaji pia mh:sendiga aliongeza kuwa daraja la nyabura limalizike haraka ili wananchi waendelee kutumia na kupata huduma ya usafirishaji katika kata ya luhota.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.